Yaani hapa nina furaha sana nikiwa nipo katikati ya kuumizwA na mupenzi . Nimepokea Job offer a malipo ni mazuri namshukuru mungu. Furaha hii imefuta machungu yote wala siwazi tena. Hapa nasubiri tu na kashule niliko apply kajibu nianze classes mwakani.
Wanasemaga mlango mmoja ukifunga mwingine hufunguka.
Nakuonea Huruma Wewe Unaejifariji Kwa Shule na KaziHahah utampata tu.
Hii nifuraha kwangu kwana nilikua naingojea kwa muda mapenzi yanakuja na kuondoka. Akitokea anaejua thamani yangu ntampokea kwa mikono miwili so far not in a hurry any more but am pretty sure its gon be soonNakuonea Huruma Wewe Unaejifariji Kwa Shule na Kazi
Vyote vitaenda mapoja. Na yanauma kweli lakini unapoona hakuna namna unajifariji upande mwingine
Hahah utampata tu.