Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdada huku kila mtu ni mkuu
mm najuaga fifi ni fiona upo hvyo na kwako piaaaMdada huku kila mtu ni mkuu
Sasa unafurahia shule au kazi?!...mapenzi muhimu ww jifariji tu
Hahaha shule haiishi kia mtu ana malengo yake na plan zake za maisha. Hata nikifika miaka hamsini na nataka kujua jino linafanyaje kazi ntatafuta darasa nisome. Napenda kujifunza unaeza kuniita bookholic ....kama niko sawa na huo msemoKwa hela anayopokea na bado ni mwanafunzi atajikuta karudi mle mle