Fifi J
Member
- Aug 21, 2018
- 47
- 48
Yaani hapa nina furaha sana nikiwa nipo katikati ya kuumizwA na mupenzi . Nimepokea Job offer a malipo ni mazuri namshukuru mungu. Furaha hii imefuta machungu yote wala siwazi tena. Hapa nasubiri tu na kashule niliko apply kajibu nianze classes mwakani.
Wanasemaga mlango mmoja ukifunga mwingine hufunguka.
Wanasemaga mlango mmoja ukifunga mwingine hufunguka.