Nadhani ninaweza pata depression kama ningebaki navyo moyoni kichwa kinauma kwa kuwaza.
Ndio inatakiwa hivyo, mimi father alinikatia ticket ya ndege miaka 47 iliyopita nikiwa bado mdogo sana akaniambia katafute maisha na Mungu awe naweSana, nadhani ali nishape Sana. Mwanae miaka 22 tu ila amesha oa.
abarikiwe Sana, sema mkubwa kumbe ume kula chumvi sana 47 ni history .Ndio inatakiwa hivyo, mimi father alinikatia ticket ya ndege miaka 47 iliyopita nikiwa bado mdogo sana akaniambia katafute maisha na Mungu awe nawe
Alinisindikiza mpaka nchi jirani, yeye akarudi zake
Mpaka leo namuombea Dua
Dunia hii ukipata wa kukupa ushauri au kukushika mkono na ukajitahidi basi Mungu atakuongoza
Ndio mkuu at that time nilikuwa 19 wakati huu Airport yetu kuna kila aina ya ndege ni chaguo lako tuabarikiwe Sana, sema mkubwa kumbe ume kula chumvi sana 47 ni history .
Nawaza labda uli kuwa na 20, hahaha you're my senior aisee.
hahaha, nili wahi kusikiliza story ya faroukh Karim yule wa Zanzibar.Ndio mkuu at that time nilikuwa 19 wakati huu Airport yetu kuna kila aina ya ndege ni chaguo lako tu
Kweli namlilia kila leo mshua alinipa njia
Na mimi wanangu nimewaongoza njia hiyo hiyo
In fewyears time nastaafu jina ila kazi siachi 😆 😂
Wewe jamaa mnafiki Sana, Kila comment yako "nitarudi" Kila siku toa mchago wako hapo nduguNitarudi
KAZI ni kipimo cha UTU
Jamaa katishahahaha, nili wahi kusikiliza story ya faroukh Karim yule wa Zanzibar.
ali pangiwa jeshi mkoani kigoma, aka ona wee siwezi aka danganya ana enda kuhiji maca Kisha aka potelea nchi za ma mbele.
ali kuwa baharia, yaani nilivyo kuwa namsikiliza ni Ile natural hustler kabisa.
Sasa senior Black Sniper kwanini hau staafu??, au ni mula ziko mingi kwa wakati huu.
so pulling out the socks, ni kuji danganya 😃
Mimi mtazamo wangu niki fika 35, nta malizana na mambo yote Mola aki tia wepesi.Jamaa katisha
Mimi naamini riziki anapanga Mola, kile kile ndio utapata
Mimi sio kwamba sintastaafu bali bado nina weka kufanya kazi ila ntapunguza speed ya kazi
Ntafanya usimamizi tu na kufanya siku 3 au 4 kwa wiki
Afya na nguvu kama ipo fanya tu
Kustaafu ni kupata mafao tu ila sio kuacha kazi 😄
Mungu akufanyie wepesi hata hiyo ni kazi kubwa sana na unajiwekea akiba mbeleniMimi mtazamo wangu niki fika 35, nta malizana na mambo yote Mola aki tia wepesi.
nakuwa nafanya kitu fulani kwa passion, huku niki furahia maisha hapa na pale.(Sio bata ni kusafiri ishi huku au kule).
kuwa na a giving privilege, nime ona na nime ishi nao baadhi watu Wana hitaji msaada Sana.
Nisha enda kijiji fulani kusaidia kuweka kisima , watu hadi Panadol kupata ni mtihani.(No money).
niku takie asubui njema mkuu, nashughulikia mambo kidogo.Mungu akufanyie wepesi hata hiyo ni kazi kubwa sana na unajiwekea akiba mbeleni
Kila la kheri mkuu
Hii dunia ni mapito tu tufanye ihsaan sana
Sorry,kama nimekusoma vizuri pale juu main post umejinasibisha kama mtoto wa pili kuzaliwa kwa wazazi.Nimesema machache tu mkuu. Mshahara wangu ndo unalisha wazazi wangu , kulipa bills zao na ninakatwa bima yao na ya mkwe pia kwahiyo kinabaki kiasi kidogo cha fedha ambacho ndo tunatumia kwa pamoja na yake kwa familia.
Wanawake mnakuwaga soo concern na material things in such a way inapoteza meaning of life.Naombeni ushauri jamani mimi ni mtu mzima nina 40+ nashindwa kuomba ushauri wa rafiki zangu mana ndo yataenezwa.
Nadhani ninaweza pata depression kama ningebaki navyo moyoni kichwa kinauma kwa kuwaza.
Naombeni ushauri tafadhali.
Nimefika....Ahsante😃
Mshahara wako 2.3m
Mshahara wa mume 800k
Ada alipe mume wewe ulipe nauli na uniform.
Umri 40+
Kitendo Cha kumzidi mume mshahara tu kila atakalofanya mwanaume kwako halina maana kiufupi lazima ulazimishe mwanaume afanye unavotaka wewe.
Lazima uwe na stress kwa sababu shida Wala sio hizi ulizoeleza shida ni mwanaume amegoma kuendeshwa ni kwamba Kuna namna unataka mwanaume afanye kwa mawazo yako, Kama unabisha inaingiaje akilini watu wenye 40+ washindwe kuelewana ndani ya nyumba mpaka uandike kuomba msaada online!
Jibu ni kuwa wote mnajiona kichwa wa familia.
Hebu kuwa mke wa familia Kama utapata stress.