I am desperately looking for a job

Ramthods,

Uweke huo mchanganuo ili tupate ideas zaidi, huwezi kufaham unaweza ukawatoa watanzania wenzako katika umaskini. Pia hiyo 500K au 600K ni kitu gani?

Asante.

Muro.
 
Ramthods,

Uweke huo mchanganuo ili tupate ideas zaidi, huwezi kufaham unaweza ukawatoa watanzania wenzako katika umaskini. Pia hiyo 500K au 600K ni kitu gani?

Asante.

Muro.

Tupo sote uncle. Nafatilia nipate details zaidi ili mchanganuo ukamalike, the sote tutauchambua hapa JF.

500K = TSh 500,000
600K = TSh 600,000

Poke kama ilikuchanganya!
 

Thanks so much, this is very useful and encouraging. Let me think. I like challenges na hapa ume nichallenge kiukweli.
 

Baba J, vp mtu wangu, hiyo avatar yako ni noma.
 
Thanks so much, this is very useful and encouraging. Let me think. I like challenges na hapa ume nichallenge kiukweli.

You are welcome!

Anytime you thin I can help, let me know!

Best of luck
 
Oh a common problem. Nakushauri maliza kwanza shule. AND TAKE TIME; GOOD THINGS DO NOT ALWAYS COME TO USE AT THE MOMENTS THAT WE NEED THEM TO.
 
dada yangu pole sana ...U R A VICTIM OF OUR POOR SYSTEM...ni tatizo la watz wengi waliopitia shuleni...yani mtu anawazia kuajiriwa tuu...haoni other oppertunities zilizomzunguka isipokuwa kuajiriwa ...na mbaya zaidi sikuhizi wanataka TRA, BOT...wakiajiriwa wanaishia kuiba na kila siku kukimbizana na semina na milolongo ya warsha...

kijana mmoja katoa mfano wa kuwekeza kwenye kilimo hapo iringa...hiyo ni 1 of the opertunities aliyoiona yeye....wewe unatakiwa ujifunze kuona vitu in more than 3-dimensions....hapo ndipo utasema elimu ulonayo imekukomboa....zaidi ya hapo bado unakuwa mtumwa wa mfumo mbovu wa kutofikiria nje ya box.

USHAURI
tatizo lako wewe sio kwamba huna ajira....HUNA KIPATO CHA KUTOSHA...na sio kwamba unataka kufanya kazi za profession yako...sio kweli...kama issue ni kipato...jiajiri mwenyewe au work hard in other fields ambazo zita-suppliment kipato chako.

suala la MTAJI kwa msomi sio PESA....ni AKILI NA ELIMU YAKO full stop. LAYMAN ATAHITAJI PESA...wewe unahitaji akili na kuitumia elimu yako to harness the best of your surrounding environments....kwa mfano...UNAWEZA KUTUMIA ELIMU YAKO KUWA MWANDISHI WA MAMBO ULOSOMEA NA UKAWA UNALIPWA KWA KUANDIKIA GAZETI LOLOTE HAPA NCHINI AU HATA NJE YA NCHI......UNAWEZA KUWA MUANDAAJI WA KIPINDI CHA TV NA UKAONGELEA NA KU-INTERVIEW WATU KATIKA FIELD ULOSOMEA....hiyo ni moja ya mifano michache ambayo huitaji hata TSH 1 kuifanya zaidi ya knowledge yako ya chuo plus that masters unayoichukuwa now....

ushawahi kujiuliza what other potentials do u have?...may be unawezaa kuwa miss tz na ukala gari la 50m plus 9m za mafuta....au ukawa model na ukalipwa vizuri tu...unamfahamu alek wek????....model msudani alitolewa kijijini na kuwa supermodel...hata shule hakwenda sema ndio hiyo potential yake alonayo...natural born gifts.

TAFAKARI...CHUKUA HATUA......ni maoni tu dada yangu
 
Shida ya watanzania wengi hata penye seriousness wanamwamaga utani.Sio kitu ila ninachojua mimi kama kweli wewe ni HR mzuri,ukianzisha kampuni ya consultancy-kazi/biashara ziko nyingi sana,kuanzia kuwafanyia interview watu (kampuni)zisizopenda undugu na connections na hata training. Hapo uhitaji pesa zaidi ya kuandikisha kampuni,vyeti vyako na kutafuta biashara-hapa nazungumzia biashara za TZSH15M kwenda mbele,lakini mbona wanatangaza kila siku hizi kazi za consultancy huzioni?Na kama unaziona na huna kampuni tumia kampuni ya mtu ufanye na yeye umkatie.
Labda kama unataka kuwa Human resources Manager wa Nyumbani Co. Ltd.
 
Mkuu Ramthods-hii project umeisikia kwa mtu au?umeona mtu aliyefanya hivyo afanikiwa?
Mimi niko tayari kufanya majaribio kwa mtu yeyote utakayemchagua wewe na kuwa mfano kwake ili mradi hiyo laki yangu 5 irudi bila riba.
Huu mradi wako unaonekana mtamu sana lakini hukusema the other side of the coin.
Maana ndg zangu wa Iringa walio hapo sijajua kwanini wao hawaneemeki je ni kweli wamekosa laki 5? hata kwa kuchanga familia 4 wakaja wakapata milioni 1 kila mtu bada ya miezi kadhaa?
Haya mambo ya Kilimo huwa yana mambo mengi ambayo ni unpredictable kama mvua,soko kubadilika,mara magonjwa ya hiyo mimea etc hivyo vyote viko taken care off?
Maana nasikia sehemu zingine unaweza hata ukalima baadae wakaje wezi kuvuna.
Naomba utuweke wazi Ndugu yetu.
Katabazi.

 

Hii project ni kitu cha kweli uncle, sio kitu cha kufikirika. Mama yangu ndio karudi juzi tu msimu uliopita, atarudi tena kwa msimu wa January.

Mimi kama mimi binafsi sijafanya, ila hizo data nilizokupa ni kutoka kwa wata wanaofanya hii biashara. Tatizo ni kwamba watu wa kule Iringa wengi hali yao kiuchumi sio nzuri. Laki tano ni hela ndefu sana.

Isipokuwa wapemba wamejaa sana huko kuliko unavyoweza kudhania.

Hiyo other side of the coin uliyoisemea ni ipi - ni Risk?

Risk zipo pia. Mimi pia naunga tela hapo January, ila kabla ya hapo nitakuwa na data kamili alatu tutachangia wote pamoja.

All the best
 
Mi nangoja ulete data zaidi za personal experience and i can join you, laki hadi million sitakosa. thanks
 
Hii project ni kitu cha kweli uncle, sio kitu cha kufikirika. Mama yangu ndio karudi juzi tu msimu uliopita, atarudi tena kwa msimu wa January.

Mimi kama mimi binafsi sijafanya, .

All the best

Mkuu 1. vipi na soko lake ni guaranteed nisije kaa na viazi vyangu mpaka vikaoza, 2. Kwanini uuze shambani kwanini usijenavyo nakuviuza tandale, kisutu na kariakoo etc nadhani hapa faida inaweza kuwa mara mbili.

MJ
 
Mi nangoja ulete data zaidi za personal experience and i can join you, laki hadi million sitakosa. thanks

That is a very good thing carmel. Leo pia nimeongea na rafiki yangu huko makambako, mke wake anafanya biashara ya viazi kwa muda mrefu sana.

Nataka ni compile data za kutosha ili maswali yawe machache angalau.

All the best
 
Mkuu 1. vipi na soko lake ni guaranteed nisije kaa na viazi vyangu mpaka vikaoza, 2. Kwanini uuze shambani kwanini usijenavyo nakuviuza tandale, kisutu na kariakoo etc nadhani hapa faida inaweza kuwa mara mbili.

MJ

Watu wengine wanakuja moja kwa moja kuuza hapa town. Tatizo ni kwamba, sio watu wote wanajua market ilivyo hapa town. Mfano, huyu mama niyekuwa naongea nae kuhusu hichi kilimo alileta gunia 50 hapa Dar iki kupata faida zaidi akiongozana na house boy wake.

Baada ya kuuza, yule house boy akapotelea mitini maana yeye ndiye aliyekuwa akishughulika na wateja. So unaweza ukaja moja kwa moja kuuza hapa town kama unafahamu soko vizuri.
 

Umetonesha donda langu kaka!! Unanikumbusha pale nilipo-graduate SUA with BSc AgroEconomics!! Nilitimba sana town kutafuta kazi, na nilipoona mauzushi kibao nikaenda kwa mother na data kama hizi!! By that time nilikuwa na plan ya kulima vitunguu mitaa ya Upareni kule Same!! Baada ya kufanya ka-survey kangu, by that time ekari moja ingeweza kugharimu about Tsh. 300K! Suala la mvua haikuwa issue, kwa vile kule ni irrigation ndio inayotumika. Aidha, katika hali ya kawaida, ekari moja ungeweza kupata gunia kati ya 40 hadi 60. wakati wa bei nzuri, pale kariakoo ungeweza kuuza gunia moja between TShs. 60K to TShs. 90K!! U know what, baada ya kufikisha idea yangu kwa Bi. Mkubwa alinijibu " U must be crazy young boy, yaani nikupe pesa yangu ukaizike ardhini?!" NIKACHOKA, ingawaje bi mkubwa wangu huyu alikuwa tayari ku-spend kiasi sawa na kile nilichoomba kwa ajili ya GD!!
 
Nilituma jana message kwenye hii discussion sijui imekwenda wapi, sikumbuki hata kama nilihakikisha imekwenda, ooh well. Carmel, naomba tuwasiliane, nina some ideas tunaweza kushirikiana kama uko interested na kujaribu na kujiajiri. Unaweza kuwasiliana na mimi kwa ppr@SabaSevenWorld.com au sabaseven@yahoo.com.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…