I am flying without wings

Fly ndugu pengine ndio mwenzako Mungu aliyekupa
hata Jay z na Bey wengi walisema mengi lakini ni mwaka wa kumi sasa they are flying without wings.
 
Fly ndugu pengine ndio mwenzako Mungu aliyekupa
hata Jay z na Bey wengi walisema mengi lakini ni mwaka wa kumi sasa they are flying without wings.


Asante mwaya kwa kunitakia heri, ubarikiwe sana
 
Hongera mwaya mdogo wangu nakuombea kheri yazidi kukua siku hadi siku. Kumbuka kuyapalilia kila siku.
 
congrats jamaa yako inawezekana anatumia hii technique




 

Hongera zako...Kula raha zako za kupenda na kupendwa....saa zote hujawa na tabasamu tu tena la kukata na shoka.

 
Last edited by a moderator:

Vizuri sana... Lakini kumbuka don't take it for granted......

Hata zile flowers nzuri saaana zenye kuburudisha macho na kupendezesha kwa harufu nzuri, behind the scene kuna kazi kubwa ya kuyatunza, kumwagilia maji, mbolea na kuvumilia zile siku zenye jua kali ambalo hufanya afya ya maua kuzorota.. basi mtunza maua huwa na subira na busara ya kuongeza maji na mbolea.........
 

kwenye Blue bold... una maanisha nini? labda eleza jinsia yako maana inawezekana unataka mwingine wa nje ya furaha ujumuike nae.
 

Ngumi zikianza tujulishe mkuu.
 
well, shit hapens! bt men are just men, stay focused, tehe tehe,,,
 
Dada/kaka utumie muda huu unitakie heri mwenzako lakini sio kunipa maneno kama hayo, ukweli nina raha sana isiyoelezeka kwa maneno
ishu sio kukukatisha tamaa..unajua hata ndege huwa inakitu inachoifanya iruke...injini ambayo nayo inatumia mafuta..so ili iendelee kuruka ni lazima mahitaji yake yoote yatimizwe..so nilivyokwambia hivi maana yangu ni kuwa wooote tunaanziaga huko huko ila wengi sana huwa wanashindwa kuiendeleza hali hiyo na matokeo yake wanaangukia pua..sio siri mimi binafsi namshukuru Mungu tangu tumeanza bado tunafly tu mpaka sasa tunategemea kupata firt born wetu na ndo kwanza kama tumeanza jana..na wapo pia wengine wachache wana miaka nenda rudi "ndege" haziishi mafuta wala injini kuchakaa...wana fly tu...so ishu ni nyie wenyewe ndo maana nikakwambia wooote tunaanziaga huko huko kwa ku fly ila sasa...mmmmh!!!
 
Ninawashukuru wote kwa maoni yenu yote yakinielekeza kulilinda na kulipalilia penzi hili, nami ninachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kutuepusha na mahasidi wote wanaolichukia penzi letu, pia atupatie moyo wa hekima na maarifa ili tuweze kukabiliana na changamoto zote katika mapenzi. Uvumilivu na kusamehe zitakuwa silaha zetu kuu!! Tuombeeni wapendwa
 
Reactions: BAK

Kila la heri katika mapenzi yenu moto moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…