Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fly ndugu pengine ndio mwenzako Mungu aliyekupa
hata Jay z na Bey wengi walisema mengi lakini ni mwaka wa kumi sasa they are flying without wings.
hongera mwa hego.Ila angalia asikupeleke juu sana kwa maana ukidondoka utaumia sana.i know sana haya mambo
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.
Muwe na wakati mwema.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi. Muwe na wakati mwema.
acha hizo Smile,ntakuchapa!wote tulianzia huko huko tena tulifly bila ngozi na mifupa mitupusasa tuna manyoya hata kufly tena hatuwezi enjoy kulia kwaja
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.
Muwe na wakati mwema.
Habari zenu wanajamvi? Ni matumaini yangu wote mu wazima na wenye furaha tele.
Niko kwenye mapenzi na mpenzi anayenipenda kwa dhati najisikia raha ya ajabu. Kupendwa ni raha sana hasa unaekupenda akikujulia, ninaweza kusema i am flying without wings, mnaweza kujumuika kufurahi pamoja nami, hata kama ulienae anakupa karaha usijal iko siku utapata wa kukupa raha kama ninazopata mimi.
Muwe na wakati mwema.
U must be a lady....too illusional,dats girls' biggest weakness! Be reasonable...Watu kwa kuwaombea wenzenu mabaya hamjambo, shame on ur face
ishu sio kukukatisha tamaa..unajua hata ndege huwa inakitu inachoifanya iruke...injini ambayo nayo inatumia mafuta..so ili iendelee kuruka ni lazima mahitaji yake yoote yatimizwe..so nilivyokwambia hivi maana yangu ni kuwa wooote tunaanziaga huko huko ila wengi sana huwa wanashindwa kuiendeleza hali hiyo na matokeo yake wanaangukia pua..sio siri mimi binafsi namshukuru Mungu tangu tumeanza bado tunafly tu mpaka sasa tunategemea kupata firt born wetu na ndo kwanza kama tumeanza jana..na wapo pia wengine wachache wana miaka nenda rudi "ndege" haziishi mafuta wala injini kuchakaa...wana fly tu...so ishu ni nyie wenyewe ndo maana nikakwambia wooote tunaanziaga huko huko kwa ku fly ila sasa...mmmmh!!!Dada/kaka utumie muda huu unitakie heri mwenzako lakini sio kunipa maneno kama hayo, ukweli nina raha sana isiyoelezeka kwa maneno
Ninawashukuru wote kwa maoni yenu yote yakinielekeza kulilinda na kulipalilia penzi hili, nami ninachukua nafasi hii kumuomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kutuepusha na mahasidi wote wanaolichukia penzi letu, pia atupatie moyo wa hekima na maarifa ili tuweze kukabiliana na changamoto zote katika mapenzi. Uvumilivu na kusamehe zitakuwa silaha zetu kuu!! Tuombeeni wapendwa