I am future gay?

I am future gay?

Ngoja niendelee kutakari huu uleaji
Sijui nikawatafutie wangu!!!

Ila sema baadhi
Wavulana wakichelewa kuanza
wanakuwa viwembe hadi unatamani kumpeleka hospitali

mtu unaweza kuwa na girlfriend
usi sex nae
ukaacha nae
ukatafuta mwingine nae hivyo hivyo

ni bora hivyo kuliko useme mpaka utakapo oa
hapo uko kwenye 30 hivi labda
hujui hata 'body language ' ya wanawake ikoje....
 
Wasi wasi dogo asije kuingia kwenye ndoa ndio akaanza ku test test aone aina tofauti za nanihii...
 
FF umesomeka vilivyo kwa ushauri huu maridhawa. Tatizo ni kuishi katika society ambayo kuna serious moral decay na kudhani kwamba mtu akiwa muadilifu basi yeye ndo ana matatizo. Kijana usikate tamaa, ishi kwa maadili yako!

Kweli mkuu. Jamii zetu siku hizi zinafiriki kinyumenyume. Mtu muadilifu anaonekana mshamba na mtu hasie muadilifu anaonekana mjanja!

Kuanzia ulevi,uzinzi,ufisadi,uchakachuaje n.k. Jamii zetu zinafikiria kinyumenyume.
 
Utakua gay siku utakayovutiwa na wanaume wenzako na sio kipindi ambacho umeamua usijihusishe kimwili na mwanamke yeyote yule.

Kinachowashangaza na kuwauma ni wewe kuwa na control juu ya mwili wako. Achana na maneno ya watu, Ishi maisha yako unavyopenda/ulivyopanga wewe.

kumbe kunawakati unakua na hekima, hongera!
 
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

huwez kua gay ila nakushauri kama ulivyo jitunza pia utakapokuja kua kwenye ndoa ujitunze kwa kua na mkeo tu, vinginevyo ni matatizo tu.
Hongera kwa sababu ni adimu sana kwa vijana wa leo kujitunza.
 
Hongera sana kwa kuwa na msimamo mdogo wangu,nachokushauri endelea na msimamo wako mpaka utakapompata mwandani wako though unakosa utamu wa hii kitu kwa saiv.Hao rafik zako wanaokucheka hata usitishike nao waache wao wajaze mashimo tuone kama yatajaa zaidi ya kupata STD's.
 
Imeandikwa, atakayevumilia mpaka mwisho ndiye ataiona mbingu!
Hongera kijana, uzi huo huo
.!!
 
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

...brother, una bahati sana, keep it up!!! Kuna wengine walianza hata kabla hawajabalehe

Your time will come and everything will be OK, as long as you are not attracted to other men😛oa
 
Wasikushughulishe na maneno yao yakifisadi,weye shikilia hapo hapo wao wamefanya mpaka sasa wamevuna nini? waache waseme.....
 
Kwa umri huo siku ya kwanza kugonga,utapiga sana kelele,na unaweza kupoteza fahamu kabisa..duh kumbe kuna watu hadi umri huo hawajaionja pepo ya duniani!!...nachokushauri tafuta demu piga mkuu,ukikaa kibikra namna iyo unaweza kukimbiwa na mke kwa kukosa experience kwenye game.
 
Utakua gay siku utakayovutiwa na wanaume wenzako na sio kipindi ambacho umeamua usijihusishe kimwili na mwanamke yeyote yule.

Kinachowashangaza na kuwauma ni wewe kuwa na control juu ya mwili wako. Achana na maneno ya watu, Ishi maisha yako unavyopenda/ulivyopanga wewe.

Gay maana yake si hanisi hata hivyo. asiwe na hofu.
 
soma tena
nimesema sio lazima ku sex
mimi nimesoma shule mtu siku ya birthday yako unafanyiwa sherehe
unakaa high table na ni lazima awepo mchumba wako pembeni
hata kama watu walikuwa hawamjui siku hiyo watamjua

ndo maana nimesema kuna faida nyingi mno
ukifika 17 na kuendelea iwepo hata 'mchumba mchumba'

hivi unadhani ni coincidence gays wengi walisoma 'all boys scholol'?????????
jiulize hilo......

The boss, nakubaliana kabisa na wewe.

If a boy doesn’t fully live his life when he is teenager, when it’s time to settle down he will be prone live his “lost” life, the experiences that he didn’t experienced when he was a teenager.

Like its said: WE ALWAYS WANT WHAT WE DON’T HAVE AND WHAT WE HAVEN”T EXPERIENCED YET
 
Kaka hebu anza kutafuta maexperience mapema. Lol.
 
Maelezo yako yanajitosheleza kuwa wewe ni **** tena aliyekubuhu wacha maneno yako wewe!
Vile vile inaonyesha wewe ni mpiga Punyeto mzuri sana!

Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.
 
Mambo vipi wana JF? Binaadamu tuna kutana na mambo mengi sana hapa duniani, moja lililonipata mwenzenu hata kuomba ushauri wenu ni hili. Sija wahi kujihusisha na mapenzi tangu nimezaliwa hadi leo nina umri wa miaka 21 lakini vijana wenzangu wakua wakinijadili sana eti kwa nini mshkaji hana demu? Au jongoo hapandi mtungi? Neno hili hua linanikera sana.lakini huwezi kumpenda msichana utakaekutana nae kwa muda wasiku moja tu,neno jongoo hapandi mtungi walili2mia hata baadhi ya warembo walionitongoza. Kwa kweli sio kama,jongoo hapandi mtungi! Anapanda mpaka ukuta hasa,lakini nimejiweka hivi cuz sitaki kuumizwa na mapenzi,muda niliojiwekea ukifika nitachagua ninaempenda nitafunga nae ndoa.si lazima niende wao wanavyotaka, kuna mmoja nilimpa history yangu akashtuka,nakudai kwamba angelikua kama mimi angeli enjoy sana. Lakini baadae alinifuata na kuniambia kwamba kama nitachukua miaka 5 basi nitakua khanis kweliii!! Naombeni ushauri wenu jamani.

...anakudanganya hawaishi hawa, shikilia msimamo wako huo huo...ukishaonja nyama umejichongea, huwezi acha kudokoa tena na tena! kwanza mapenzi ni mateso tu....jipe muda mpaka utapokuwa tayari kuwa na mke.

kila la heri ....:A S-coffee:
 
Hongera sana kijana, kama umejitahidi umejitunza namna hiyo basi endelea tu mpaka utakavyofunga ndo yako, wala usikate tamaa kuwaridhisha watu, binadamu hatuna dogo, mtu akiwa malaya watamsema akitulia watasema pia
 
...anakudanganya hawaishi hawa, shikilia msimamo wako huo huo...ukishaonja nyama umejichongea, huwezi acha kudokoa tena na tena! kwanza mapenzi ni mateso tu....jipe muda mpaka utapokuwa tayari kuwa na mke.

kila la heri ....:A S-coffee:
mhhhh mbu mapenzi ni mateso tena?????
 
Kijana hiyo inaonesha ukomavu wako wa kifikra. Na hao wasikukatishe tamaa, mtafute umpendae kwa taratibu ndio ufunge nae ndoa na ndipo uanze hayo mambo. Nakusifu sana kwa hilo.

Hao vijana wengine wasikukatishe tamaa, zinaa si uhodari ni ujinga. Furaha ya tendo la ndoa ni kwenye ndoa, wasikukatishe tamaa. Na wala hauwi gay kwa hilo, Gay ni yule anaependa kufanya ngono na watu wa jinsia moja na yeye. Mungu akuepushe na laana hiyo.

Dada FF yani una busara hadi raha.
 
Back
Top Bottom