Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
dahh pole sana kwaiyo ukimwona unakua hoi? Hajakugundua? Mm nafikiri solution ni moja inabidi kaka yako akioa aishi mbali na wew kutomwona kutapunguza feelingz. Je uko tiyari kumwambia?
Ebu jitoe akiri mtumie hii text.
"kaka sijawahi kukwambia hili nina feelingz na wew kuliko mwanamme yeyote, na najua ni laana. Na hivi unakaribia kuoa nakuomba uhamie mkoa mwingine nisikuone mara kwa mara. Nitunzie siri kaka."
Mi sina pepo..I usually go to church and I pray a lot
CcM imeFanYa meNgi Ila naShaKa na Hili. MpakA uChaGuzi tUTaoNa nA kuSiKia mEngI!
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.
Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.
He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I dont even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Malezi yanachangia hali hii.Thats purely evil thought