I am in love with my brother

I am in love with my brother

Wanasaikolojia mpe msaada huyu pia watumishi mchangamkieni huyu kabla hajashikwa na yule muovu alielaaniwa
 
Pole Sana Dada Jaribu Kufanya Maombi,mazoezi,utampata Mpenzi Wa Ukweli Na Unaempenda Kuliko Kaka ako. Unamiaka Mingapi?
 
dahh pole sana kwaiyo ukimwona unakua hoi? Hajakugundua? Mm nafikiri solution ni moja inabidi kaka yako akioa aishi mbali na wew kutomwona kutapunguza feelingz. Je uko tiyari kumwambia?

Ebu jitoe akiri mtumie hii text.

"kaka sijawahi kukwambia hili nina feelingz na wew kuliko mwanamme yeyote, na najua ni laana. Na hivi unakaribia kuoa nakuomba uhamie mkoa mwingine nisikuone mara kwa mara. Nitunzie siri kaka."

Mmmh! hii hapana aseme na moyo wake moyo unasikia asijaribu kumwambia kaka yake hili swala ajitahidi kufunga na kuomba pia
 
Kwanza nikuulize
Una umri gani, lengo lako ni ni nini kwake sex au?
 
Mi sina pepo..I usually go to church and I pray a lot

Husali vizuri Amanda bado hujapiga goti ipasavyo Mungu wetu ni mwaminifu sana mkono wake si mfupi mpaka asiweze kukushika na sikio lake si dogo kiasi cha kutoweza kukusikia sali ukimaanisha, fanya toba ya kweli funga na kuomba utaushuhudia ukuu wake
 
Akili una :shetani::shetani::shetani::shetani::shetani::shetani::shetani::shetani::shetani:
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

You are sick you need help
 
Hili unaweza kuliondoa kwakupunguza mazoea na kaka yako, kaakaribu na mpenzi wako tumia muda wako unapokua free kwenda na mpenzi wako sehemu unazopenda kutembelea. Mweleze mtu wako wa karibu unahe mwamini ila asiwe mama wala baba maana utamuumiza pia mtu huyo awe mtu mzima.
Cha mwisho mtangulize Mungu muombe akupe ujasiri wakulishinda hili utafanikiwa.
 
Mtoa maada umekosa post/ ila kifupi unatafuta bwana. mbunye utatoa?
 
You need deliverance. nenda kanisa lolote la Kipentecoste au Assemblies uombewe, haipo duniani. Biblia inasema wazi wazi kuwa ni laana.
Huwezi kubaldili hilo.
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

Usijali my sister, kilio chako nimekisikia na yule dem angu ntamwacha ntakuoa wewe!!!
 
Back
Top Bottom