shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,432
Malezi yanachangia hali hii.
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.
Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.
He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I dont even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Kuna mmoja nae alikuja na topic ya kumtamani mama yake mzazi kingono lakini ukimchunguza ndio hao hao wanaojiita wakishua...baba prof na kichocheo usitaarabu wa kimagharibi ingawa alikuja na cynical mechanism.umenena vyema mkuu especialy hzi familia zinazojiita za kishua watoto wanashnda ndani mda wote wasitamaniane kwa nin
At least yako ilikuwa udogoni .Halafu kuna walokuwa wananishangaa kuhusu Oedipus Complex yangu.
Wewe lazima utakuja kuwa wifi kigego......
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.
Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.
He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I dont even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.
Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Hello Amanda Lynn
Kabla hatujakushauri chochote jibu masuali yafuatayo:
1. Je malezi yako wewe na kaka yako yalikuwaje toka mmezaliwa hadi mlipofikisha umri wa miaka 12?
2. Maisha ya kimahusiano ya mapenzi ya wazazi wenu yalikuwa vipi?
3. Historia za kimapenzi za wazazi wenu zikoje?
4. Uzoefu wako wewe binafsi wa mahusiano kati ya miaka 12 na umri wako wa sasa?
5. Imani yako ya dini ikoje na ushiriki wako katika imani hiyo?
6. Je kwa sasa uko willing within yourself kuondokana na feeling hiyo au hutaki kuiachia?
Ukishajibu masuali hayo tutakushauri mwongozo na nini cha kufanya.
mm na kakangu tulikuwa tunafanya kila kitu pamoja tulivokuwa wadogo hata kulala tulilala pamoja, wazaz wetu wana mahusiano ya kawaida, mm mkristo, naweza kuwa kwenye relationship but bado nikamuwaza kaka, kwa mfano nikiangalia picha zetu za pamoja. Ningependa kuondokana na hizi hisia.