I am in love with my brother

I am in love with my brother

It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

Hivi binti wewe unadhania hadi shetani akufanye KITI chake lazima afanye appointment?
 
watoto tuzae lakini kuna hatari siku zijazo watoto wa kike wakikosa ma boy friend watakuja kutuomba baba zao tuwa pooze kwa mtindo huu.kisa tuli wazaa.
 
1. Sali sana ukimwomba Mungu akuongoze upate mwenzi mwema.
2. Fanya jitihada za kutafuta mkaka ambaye ana sifa kama za kakako. Huenda ikasaidia ku-divert affection na emotional attachment kwa kakako.
3. Hakikisha unaishi mbali na huyo kakako.
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

Hello Amanda Lynn

Kabla hatujakushauri chochote jibu masuali yafuatayo:

1. Je malezi yako wewe na kaka yako yalikuwaje toka mmezaliwa hadi mlipofikisha umri wa miaka 12?
2. Maisha ya kimahusiano ya mapenzi ya wazazi wenu yalikuwa vipi?
3. Historia za kimapenzi za wazazi wenu zikoje?
4. Uzoefu wako wewe binafsi wa mahusiano kati ya miaka 12 na umri wako wa sasa?
5. Imani yako ya dini ikoje na ushiriki wako katika imani hiyo?
6. Je kwa sasa uko willing within yourself kuondokana na feeling hiyo au hutaki kuiachia?

Ukishajibu masuali hayo tutakushauri mwongozo na nini cha kufanya.
 
umenena vyema mkuu especialy hzi familia zinazojiita za kishua watoto wanashnda ndani mda wote wasitamaniane kwa nin
Kuna mmoja nae alikuja na topic ya kumtamani mama yake mzazi kingono lakini ukimchunguza ndio hao hao wanaojiita wakishua...baba prof na kichocheo usitaarabu wa kimagharibi ingawa alikuja na cynical mechanism.
 
Halafu kuna walokuwa wananishangaa kuhusu Oedipus Complex yangu.
At least yako ilikuwa udogoni .
Angalia kwenye kile kitabu chako cha ushauri
kama kuna ambalo litamsaidia huyu mrembo.

Maana mi nimegonga mwamba.
 
makubwa haya! Walio katika ulimwengu wa Roho watakuambia ni mti wa ukoo. Ukifuatilia utakuta jambo hilo lilishatokea katika ukoo wenu. Kuna haja ya kufanya maombi ya kuvunja mti huo wa ukoo ujulikanao kama mti wa laana!
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

mtembelee Gwajima na mzee wa upako ...watakupa mwongozo juu ya nini cha kufanya. Lakini una pepo zito sana linalokumsubua.
 
Hello Amanda Lynn

Kabla hatujakushauri chochote jibu masuali yafuatayo:

1. Je malezi yako wewe na kaka yako yalikuwaje toka mmezaliwa hadi mlipofikisha umri wa miaka 12?
2. Maisha ya kimahusiano ya mapenzi ya wazazi wenu yalikuwa vipi?
3. Historia za kimapenzi za wazazi wenu zikoje?
4. Uzoefu wako wewe binafsi wa mahusiano kati ya miaka 12 na umri wako wa sasa?
5. Imani yako ya dini ikoje na ushiriki wako katika imani hiyo?
6. Je kwa sasa uko willing within yourself kuondokana na feeling hiyo au hutaki kuiachia?

Ukishajibu masuali hayo tutakushauri mwongozo na nini cha kufanya.

mm na kakangu tulikuwa tunafanya kila kitu pamoja tulivokuwa wadogo hata kulala tulilala pamoja, wazaz wetu wana mahusiano ya kawaida, mm mkristo, naweza kuwa kwenye relationship but bado nikamuwaza kaka, kwa mfano nikiangalia picha zetu za pamoja. Ningependa kuondokana na hizi hisia.
 
Find and date or get married to a guy with your brother's qualities and you'll be fine
 
Laahaulaaa,dunia ishaanza kukimbia watu.cjui tataishi wapi!!!!!!!!!!!!!
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don’t even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
 
Hii ndo shida ya kuacha watoto wacheze pamoja to the extreme bila kuwachanganisha na wengine, ibilisi lazima aingilie kati!!!
 
Back
Top Bottom