I am in love with my brother



Get away from your brother mdogo wangu, ni mawazo ya kishetani sana. Kama hizo picha ni kivutio, then zichome au zihamishie mbali mahali pasipofikika..
Uache gradually, usijenge mazoea ya kumtafuta au ukiwa na shida kumwambia yeye, kaa naye mbali, jielekeze kwa mwanaume wako, ni laana mdogo wangu, achana kabisa na hizo mambo!!
 

Maswali yote umeyajibu kijuu juu sana.

Please provide details ili usaidiwe.

It is something to do with what u have in subconscious mind.

We have to find out kwanza how did u get there otherwise fixing your broblem itakuwa kitendawili.
 

Hey sister, umekuja kuniripoti JF kwa nini ukuja kunambia direct? Please Send in PM those pics if you don't mind!
Ukuje kwa PM please tumalize iyo Shida, ..
Waiting for you..
 
Kibailogia, huyo pengine inawezekana siyo kaka yako wa baba mmoja. Pengine mama yako alichepuka kisha akambambikia baba yako mimba. Kama siyo basi wewe umeingiwa na jini linalokulazimisha ufanye hivyo. Ndoa za siku hizi ni fake sana.
 

Kuna jirani yangu anakula watoto na mama yao na tayari kashawazalisha watoto wake. Amin usiamini make wake alishamfumania zaidi ya Mara moja...watoto nao bila wivu huwa wanaachiana kwa zamu..pole Dada najua unaumia sana kila unapomwona bro
 
really sorry my dada, love is always undefined word please don't ever blame on her! please omba Mungu atakujibu vizuri zaidi.
Sorry
 
really sorry my dada, love is always undefined word please don't ever blame on her, tusimlaumu kabisaa!!! please omba Mungu atakujibu vizuri zaidi.
Sorry
 
really sorry my dada, love is always undefined word please don't ever blame on her, tusimlaumu kabisaa!!! please omba Mungu atakujibu vizuri zaidi.
Sorry
 
Maswali yote umeyajibu kijuu juu sana.

Please provide details ili usaidiwe.

It is something to do with what u have in subconscious mind.

We have to find out kwanza how did u get there otherwise fixing your broblem itakuwa kitendawili.

Mfano kama swali lipi? Mahusiano ya wazazi wangu ni kawaida tu kama wazazi wengine. Kati ya miaka hiyo nishakuwa kwenye relationship zaid ya moja, huwa naenda kanisani. Mm na bro tulikuwa close sana toka nilivokuwa mdogo imesabababisha nimemzoea kuliko mtu yeyote. Na huwa tunashare siri zetu. Baba toka zamani hakupenda tuwe karibu na ndugu zetu, yeye ndo yupo karibu nao ila sio sisi. Baba ni mkali ukitaka kuondoka nyumbani una-sign kitabu ukirudi pia una-sign. Tuna marafiki tunatembeleana. Mama alitangulia mbele za haki nikiwa mdogo, Kwahy niliona tu picha yake. Tumelelewa na mama wa kambo ambae mm nilidhani ndo mama yangu kwani anatupenda sana.
 

Asante sana. Walau unaanza kutupa Mwanga ili tukusaidie.

Unaweza ukaorodhesha ni siri gani wewe na kaka yako.

Na je katika kuwa close na kujitambua mmewahi kuonana utupu wenu?

Mmewahi kufanya ngono au kupigana mabusu ya mapenzi?
 
Ni kosa la jinai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na ndugu wa damu! So angalia na unaweza kuwa prosecuted mahakamani!
 
Then talk to your pastor. And say where you are located so that we can recommend a shrink. This is serious, as a kid you cant guide your feelings; but for a grown up? Wewe utakuja jikuta umelalwa na baba mkwe, na mashemeji na marafiki wa mumeo.
Mi sina pepo..I usually go to church and I pray a lot
 
Wakuu,

Mimi nafikiri mleta mada ana hoja ya maana!

Kama hapo mwanzo kulikuwapo na Adam na Eva ,na wakazaliana mpaka tukafikia kiwango cha watu waliopo hivi sasa ,kwa nini hivi sasa watu wanaogopa ndugu kwa ndugu kuwa na mahusiano au kuoana kabisa?

Mie nafikiri watu wengi hawana hoja za msingi!

Hebu mleta mada nenda kaongee na kaka yako,muelezee jinsi unavyojisikia na akikuelewa nendeni mkajenge familia!!!

Acheni kutishana!!
 
"..... Kama hapo mwanzo kulikuwapo na Adam na Eva ,na wakazaliana mpaka tukafikia kiwango cha watu waliopo hivi sasa ,kwa nini hivi sasa watu wanaogopa ndugu kwa ndugu kuwa na mahusiano au kuoana kabisa?"

kajirita kwa sababu kuna magereza, basi tufanye tu uhalifu ili tukayajaze au sio?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…