MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,006
mm na kakangu tulikuwa tunafanya kila kitu pamoja tulivokuwa wadogo hata kulala tulilala pamoja, wazaz wetu wana mahusiano ya kawaida, mm mkristo, naweza kuwa kwenye relationship but bado nikamuwaza kaka, kwa mfano nikiangalia picha zetu za pamoja. Ningependa kuondokana na hizi hisia.
Get away from your brother mdogo wangu, ni mawazo ya kishetani sana. Kama hizo picha ni kivutio, then zichome au zihamishie mbali mahali pasipofikika..
Uache gradually, usijenge mazoea ya kumtafuta au ukiwa na shida kumwambia yeye, kaa naye mbali, jielekeze kwa mwanaume wako, ni laana mdogo wangu, achana kabisa na hizo mambo!!