mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
ukienda kwa mchungaji atakuambia nae ana pepo kama lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...duh jamani utandawaziIt is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.
He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I dont even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.
Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.
Mi ninavyofahamu jamii nyingi za kitanzania mama ndo rafiki wa kwanza,haijalishi kwa watoto wa kike ama watoto wa kiume.Na daima mtoto kwa mama hakui.
Ni vyema ukamshirikisha mama yako mzazi katika suala hili bila shaka atakusaidia, na atapata fursa ya kuzungumza nanyi nyote kwa pamoja.
Umesahau hii?
Umesahau hii?
Mi sina pepo..I usually go to church and I pray a lot
What da f.........?
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.