I am in love with my brother

I am in love with my brother

Amanda Lynn

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
77
Reaction score
54
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
 
Haya mambo yapo na yanatokea sana na wala usijisikie vibaya hivyoo.. It's something out of ur reach.. Sema kinachofuatia ni kukubali kwamba huwezi kuwa na an intimate relationship na ndugu yako wa damu.. Ni ngumu lakini unachotakiwa kutia nia na kujisogeza kwa boyfriend ulienae..
 
Mchungaji Illovo huyu naye ana pepo gani linalotolewa kwa maombi yapi vile?....
 
Last edited by a moderator:
Mi ninavyofahamu jamii nyingi za kitanzania mama ndo rafiki wa kwanza,haijalishi kwa watoto wa kike ama watoto wa kiume.Na daima mtoto kwa mama hakui.
Ni vyema ukamshirikisha mama yako mzazi katika suala hili bila shaka atakusaidia, na atapata fursa ya kuzungumza nanyi nyote kwa pamoja.
 
Angalia yasikukutee kama ya mwenzakoo aliye zaa na dada yake mapachaa…
We soma bibilia yako vizuri #kumbukumbu la #torati usilete hojaa za kipuuzi za kutaka kua na relationships na kaka yako...
 
Back
Top Bottom