I am in love with my brother

I am in love with my brother

Suala lako sio geni mdada hapo na yameshawahi kutokea,wengine walishavunja na undugu kabisa kwa mila zao na kaka akamuoa Dada yake ila kwa wewe nakushauri usimfikirie na ongeza mapenzi kwa huyo ulie nae na ukubali kuwa Una kaka na sio vinginevyo..tofauti na hapo nitafute tuongee vizuri na nikushauri kitaalamu.
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawah kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndo feeling nae zikazidi.

He is so cute yaan nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake. Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo, sasa anataka kuoa ndo ananimaliza kabisa.
Kumb 27:22 Na alaaniwe alalaye na umbu lake, binti ya babaye au Binti ya *****. Na watu wote waseme Amina
 
Even you! You're note fair kwanin mnaleta undugunization kwenye mapenzi na wakati wanaume wengi tumejaa kama pish la mchele ahah sio haki wewe mdada.
 
kumbe watu wengi wanafeeling za incest relationship...ok
 
MUNGU wa mbinguni anayo huruma sana..dah watu kama hawa sijui Mungu angekua mizengo pinda angewafanya nini
 
Back
Top Bottom