I am in love with my brother

I am in love with my brother

CcM imeFanYa meNgi Ila naShaKa na Hili. MpakA uChaGuzi tUTaoNa nA kuSiKia mEngI!
Hahahahahahahahahahahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umenichekesha sana.
 
Pumbavu wewe,of all the men out there unaona kaka yako tu..devil at work
 
Kuna kitu flani hivi umekosa kwenye DNA...unatakiwa ukapandikizwe....kwenye akili yako ukiiseti kua huyo ni kaka yk na ukaiaminisha hivyo,basi utakua umepona tatizo lako..hayo ndo madhara ya kukaririsha akili yako kua he's my bro,ma frnd,my hubby..wenyewe mnajifanya wazungu..
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo

MKUU
HILO SUALA LAKO NITAKUSHAURI VEMA ENDAPO UTAWEKA PICHA.
 
I have an idea for u, how about u move away from one another, sababu inaonyesha the main reason u two r so close is bse mko karibu sana, try na move elsewhere, am sure it will help u dada, i know feelings can b very tricky, lakini u will meet some1 u can b intimate with, but not ur Bro, 🙂
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Wewe unahitaji maombi nakufunga miezi mitatu,yaani kaka yako kabisa unampa MAVITUZ halafu unamwita my baby my sweetheart? RAAAAAANAKUM WEWE yaani ndio maana dunia haishi MABALAA MARA VITA MARA VIMBUNGA ni sababu ya watu kama nyie,kama wewe ni jirani yangu NAHAMA MJI AU NCHI.
 
It is just me and my bro in my family. We grew up together went through the same schools ingawa amenizidi 2 years. Alivyomaliza 0-level akaniacha kwenye hiyo shule.

Akawa anataka kwenda another school A-Level nilihitaji aendelee in the same school but haikuwa hivyo. I developed feelings for him since na sijawahi kumwambia na baada ya mimi kumaliza chuo ndio feeling nae zikazidi.

He is so cute yaani nampenda more than a bro, kuna mda nipo kwenye relationship I don't even feel it, cha ajabu yeye anafurahia na GF wake na hajui kiasi gani naumia. Sina raha nikimuona na mwanamke mwingine.

Najua hawezi kunioa mimi, lakini kwanini dunia haipo fair? Mbona watoto wa Adam and Eve walioana, hata Isack alimuoa Rebecca ndugu yake, sasa anataka kuoa ndio ananimaliza kabisa.

Jamani naombeni mnishauri kuhusu hili tatizo
Fakur..o
 
Kuna mtu na ndugu yake waliwahi kufanya hivi na dada mtu akazaa mtoto. Matokeo yake laana iliingia ndani, wazazi wakafukuzwa kazi, walikuwa na mikopo na nyumba zikachukuliwa na benki, wazazi wote wakafariki na walibidi waende zao kijijini, Ninakushauri epuka janga hilo la kutaka kulala na ndugu yako. Ni laana ni laana.
 
Wewe utakuwa bado hujakutana na vidume vinavyojua shughuli, nafikiri ikitokea hiyo utamsahau huyo kaka yako mawazo yote kwa kidume.
 
was your father around during your childhood? maybe it's electra complex working on your brother insteady of the father
 
Acha ujinga ww utalaaniwa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom