I am in love...

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Nakumbuka kukutana na binti mmoja mrembo asiye kifani, ilikua siku birthday yake, nlienda nikazuiliwa getini na Mhudumu kuingia ndani nikaambiwa tu kwamba binti ni mzima wa afya njema ila hautamuona, nlisononeka saaana maana nilimsubiria kwa hamu kubwa sana kukutana na huyu mrembo, habari zake nikua nazijua toka kitambo sana.

Kesho yake siku ya 17/3/2020 yaani siku moja baada ya birthday yake nlifanikikwa kuonana na huyu mrembo yaani siwezi simulia ile furaha ya kuonana naye nilimkumbatia kwa masaa kadhaa kila mda nlikuwa natazama machoni nione urembo wake alikuwa anatabasamu kama anajua nini kinaendelea

She is So very beautiful, I named her Charlotte She is my Daughter, my second born, but second to none in my heart.

Nipe experience yako siku ulipokutana na umpenday ulijisikiaje?
 

Attachments

[emoji28]pole rafiki
 
Hem tupe picha kidogo
 
Mhmhmh jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeanza kufichana tangu lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ