I am in love...

I am in love...

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Nakumbuka kukutana na binti mmoja mrembo asiye kifani, ilikua siku birthday yake, nlienda nikazuiliwa getini na Mhudumu kuingia ndani nikaambiwa tu kwamba binti ni mzima wa afya njema ila hautamuona, nlisononeka saaana maana nilimsubiria kwa hamu kubwa sana kukutana na huyu mrembo, habari zake nikua nazijua toka kitambo sana.

Kesho yake siku ya 17/3/2020 yaani siku moja baada ya birthday yake nlifanikikwa kuonana na huyu mrembo yaani siwezi simulia ile furaha ya kuonana naye nilimkumbatia kwa masaa kadhaa kila mda nlikuwa natazama machoni nione urembo wake alikuwa anatabasamu kama anajua nini kinaendelea

She is So very beautiful, I named her Charlotte She is my Daughter, my second born, but second to none in my heart.

Nipe experience yako siku ulipokutana na umpenday ulijisikiaje?
 
Attachments

Nikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28]pole rafiki
 
Nikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh😅😅😅😅
Hem tupe picha kidogo
 
Nikipenda sijifichi.kama nakupenda nakwambia nakupenda.nilimpenda mtu kabla sijaitia sura yake macho.nilipomtia machoni nilimpenda zaidi.nilimuonyesha na kumwambia kuwa nampenda siwezi ficha.ila mwamba nahisi hakunipenda kama nilivyompenda.niliumia.nikaingiza roho ya ubinfsi wa kujipenda mwenyewe,ghafla upendo uliingia nyongo mpka dakika hii siamini kama ndie mimi niliyekuwa nikimpenda mshkaji namna ile aiseh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mhmhmh jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeanza kufichana tangu lini
 
Back
Top Bottom