I am looking for a true love later to be my husband

Mchumba mzuri ni yule utayekutana naye katika harakati za maisha. Nyumba ya ibada safarini, kwenye sherehe, kazini. Hawa wa barua za maomi ni shida sana. Hawa wa mtitandao ni kama bingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Hizo criteria utapata kwel madam???
Ila utanguliwe na mungu kama umeamua kikwel-kwel,,,,
 
Picha yako kwanza tuone,,Sio unasema tu unataka Handsome boy alaf we mwenyewe kituko ikawa mm ndo nikaonekana demu
 
Balozi wa Canada Tz anaongea Kiswahili, wewe unajiona una hadhi kuliko balozi, kwanza mwanaume awe na sifa zote izo afu awe single au awe wako peke yako, basi atakua mpuuzi, au labda uwe bikra na inayoifinyia kwa ndani.
 
Aiseee ,education diploma or above ,ni ajira kwn!!!!? km ni ajira na mshahara shilingi ngapi!!!?
 
Balozi wa Canada Tz anaongea Kiswahili, wewe unajiona una hadhi kuliko balozi, kwanza mwanaume awe na sifa zote izo afu awe single au awe wako peke yako, basi atakua mpuuzi, au labda uwe bikra na inayoifinyia kwa ndani.
Yeye anatafuta kiki mimi nipo katika bahati masibu english lazima ipewe nafasi yake.
 
Yaani binti wa miaka 30 Bado unatafuta mwanaume Mwenye sauti nzuri?

Anyway na Sisi waafidhina tunaruhusiwa Kuja?
 
True love doesn't come screaming I am True come to me.

Find a friend in a man, love will erupt and all else will follow from there.
 
Wewe ni mzungu or mtanzania 🧐 tutafsirie wengine kwa kiswahili tuelewe
 
True love doesn't come screaming I am True come to me.

Find a friend in a man, love will erupt and all else will follow from there.
Okey vigezo hata vya kazi vinatolewagwa kwenye kila kampuni ila ushawishi mwa mmoja ambae hana hata vigezo hushinda na huwashawishi.
Ushawishi wake kwa watahini ndio utampa kazi .
Nadhani mpaka hapo umenipata
 
ha ha ha ha ha
 
Ndoa za mikataba zitaongezeka sana tuelekeapo,miaka 2,3 ,6 n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…