I am looking for a true love later to be my husband

Kuna,45 mtu hajaoa
Wapo ingawa watakuwa wamepitia changamoto fulani,zilizowafanya wabaki hivyo.Kuthibitisha hilo jaribu kuangalia wanaokuja pm ni wangapi wako siriazi na hilo suala,na wana mtazamo wa kwako ulioutegemea.Kwa uhalisia kijana(me) ambaye yuko active akifikia 28+ mara nyingi wanakuwa tayari kwenye mahusiano kama sio ndoa.
 
I'm not tall, but I have a good voice!!,
Aged 35 years, I'm degree Holder from IFM, now working as success counsellor , average income ranges Tsh elfu80 per day!
I'm single, sina Mtoto , I need wife serious, ila usiwe single mother
Kama wewe sio single mother na hizo sifa juu zinakufaa n PM tuyajenge!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi vijana wamekuja wapo serious na ninaheshimu mawazo yao
Naninawashukuru waliokuja .
Naninajua nitafanyaje.
 

That is why you are single


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…