I am Looking for serious Man

Duh! Sim used na mpya! Aisee
 
Jua lishazama afu unachagua ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume bora hawapatikani namna hii na hawana hizi sifa dada yangu,jitahidi kuelewa kwanza ni nini maana ya kuwa mume ndipo utaelewa mwanaume unayemhitaji kuwa baba wa wanao anapaswa awe na sifa zipi...
 
Humu siwezi kutafuta hapana.
Mungu hukuletea aliyesahihi mwamini Mungu anaweza
 
Mume sahihi anapatikana popote tu,shida inakuja kwa mtafutaji kwasababu anaweza kuwa haelewi aliye sahihi kwake ni yupi...

Shida za namna hii ni nyingi sana,kama ulivyoandika hapo juu...

Kwanini unasema tena hutafuti humu wakati umeanzisha thread?
 
Nakuja Pm ,tuyajengee naona vgezo nnavyo
 
kila la kheri maua ya tofauti,sisi wa bantu tuliokimbia umande tusuburi pilau la eid.
 
Mume sahihi anapatikana popote tu,shida inakuja kwa mtafutaji kwasababu anaweza kuwa haelewi aliye sahihi kwake ni yupi...

Shida za namna hii ni nyingi sana,kama ulivyoandika hapo juu...

Kwanini unasema tena hutafuti humu wakati umeanzisha thread?
Wajanja watakuwa wamepiga wakakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…