Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
Vigezo vingi kama kazi ya benki. Amefikisha umri wa miaka 31 bado anachagua tu aende kwa Calister anazalisha mpaka sasa anadai ameshatia mimba wanawake 25. Akaungane na wenzake. Miaka ya kumpata mtu ni kuanzia 22-27 (Hiki kipindi wanaume ndiyo huwa wengi wanatafuta wanawake). Sasa yeye ameendelea kuchagua mpaka imefika 31. Anaona njia rahisi ni kwenye mitandao ya kijamii. Kuna mabinti wazuri kuanzia 22-27yr yaani viko hot balaa. Kila mtu ana vigezo vyake ila simu used na mpya haiwezi kuuzwa bei sawa hata siku mmoja.
Duh! Sim used na mpya! Aisee