I am not supporting wef meeting in dar - too much meetings, nothing gets done

I am not supporting wef meeting in dar - too much meetings, nothing gets done

sullivan nilikuwa arusha, nilishangaa kuckia mkutano upo AICC wafanyabiznec wapo kule njiro, i was like jamani hivi kule njiro hawa watu wa mkutano watafika saa ngapi kuangalia hiyo biznec? hivi walifika huko njiro kweli.

hawakwenda cha njiro wala wapi...baada ya mkutano walijazana kwenye yale ma cruser ya njake wakapitia kwa Seif baada ya hapo ngorongoro crater then kwao...watu walilaani asikwambie mtu

hahahaha!hivi yule mangi sijui URIO yule wa pale kona bar bado yupo?
sina hakika aisee

ntakucheki saa moja jioni o'clock!!

Now back to hasira zangu na huu mkutano unaotuwahisha saa kumi asubuhi kwenda kazini wakati serikali haijatupa walinzi huko barabarani

HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUENDELEA KWA MIKUTANO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hawakwenda cha njiro wala wapi...baada ya mkutano walijazana kwenye yale ma cruser ya njake wakapitia kwa Seif baada ya hapo ngorongoro crater then kwao...watu walilaani asikwambie mtu

hapo ndio utajiuliza waliwasumbulia nini wananchi na hutapata jibu kamwe.
 
sina hakika aisee

ntakucheki saa moja jioni o'clock!!

Now back to hasira zangu na huu mkutano unaotuwahisha saa kumi asubuhi kwenda kazini wakati serikali haijatupa walinzi huko barabarani

HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUENDELEA KWA MIKUTANO!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/SIZE]

Tanzania itakuwa ya kwanza garma......
 
tanzania itakuwa ya kwanza garma......

thubutuuuuuuuuuuuuu....

Labda tutaendelea kubaki nyuma, inauma sana aisee hii kitu imeniudhi mno...

Sijui ni nani huyu huwa ana-pledge huko nje kuhusu hawa watu kama mugabe kuja kutalii huku kwa gia ya uchumi
 
sasa wapendwa mnatoka saa ngapi ofcn ili mckumbane na hilo dhoruba?
 
Wakuu, nalazimika kusema kwamba sipendi na nasikitika huu mkutano uko Dar... to my observation,

  • umekua kero kwetu,
  • nina imani kwamba watanzania wa kawaida watagain very little
  • pesa yetu inatumika - kama ilivyokua mikutano mingine

kwa sasa naona Tanzania inakua kama conference center tu, maana for the past 12 months tume-host mikutano mikubwa sana zaidi ya saba na sioni chochote zaidi ya maisha yaleyale tu!

Tanzania ni kitovu cha kuvuna mahela huku wananchi wake wakiishi kwenye lindi la umaskini.
Mkuu wa kaya hapa yeye anaona ujiko subilini siku chache atakapo anza kujisifia kuhusu huu mkutano.
 
Tanzania ni kitovu cha kuvuna mahela huku wananchi wake wakiishi kwenye lindi la umaskini.
Mkuu wa kaya hapa yeye anaona ujiko subilini siku chache atakapo anza kujisifia kuhusu huu mkutano.

weraa weraaaa
 
sasa wapendwa mnatoka saa ngapi ofcn ili mckumbane na hilo dhoruba?

so far tumeshachelewa dearest, hapa mpaka wapite wenye barabara zao ndo na sisi wengine tuanze....
 
Sisi ni watu wema na wazuri
wageni wote wakaribishwa
tanzania ni nchi ya amani
upendo wetu wazidi imani

karibuni wageni wote
basi na mje muone
jinsi tulivyo matajiri
mbuga, bahari maziwa
madini na hata mimea

tena kubwa zaidi ya kubwa
ni hayo magari ya meya
twamzidi hata blea
bush na sakozi pia

tanzania tanzania
nakupenda kwa moyo
tena wote moyo
kwani uyabebayo
hata punda hawezi

twavaa suti nadhifu
ilhali afya dhaifu
elimu pia dhaifu
nishati nayo dhaifu
vyama pia dhaifu

mfumo adilifu
lakini upo turufu

sasa jk yatosha
kuanzia sasa yatosha
mikutano kwetu yatosha
waende sasa na kenya
uganda au hata rwanda

na sisi tufanye kazi
 
Back
Top Bottom