sullivan nilikuwa arusha, nilishangaa kuckia mkutano upo AICC wafanyabiznec wapo kule njiro, i was like jamani hivi kule njiro hawa watu wa mkutano watafika saa ngapi kuangalia hiyo biznec? hivi walifika huko njiro kweli.
sina hakika aiseehahahaha!hivi yule mangi sijui URIO yule wa pale kona bar bado yupo?
hawakwenda cha njiro wala wapi...baada ya mkutano walijazana kwenye yale ma cruser ya njake wakapitia kwa Seif baada ya hapo ngorongoro crater then kwao...watu walilaani asikwambie mtu
sina hakika aisee
ntakucheki saa moja jioni o'clock!!
Now back to hasira zangu na huu mkutano unaotuwahisha saa kumi asubuhi kwenda kazini wakati serikali haijatupa walinzi huko barabarani
HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUENDELEA KWA MIKUTANO!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/SIZE]
you have said it well mkuu!HAKUNA NCHI ILIYOWAHI KUENDELEA KWA MIKUTANO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
tanzania itakuwa ya kwanza garma......
Wakuu, nalazimika kusema kwamba sipendi na nasikitika huu mkutano uko Dar... to my observation,
- umekua kero kwetu,
- nina imani kwamba watanzania wa kawaida watagain very little
- pesa yetu inatumika - kama ilivyokua mikutano mingine
kwa sasa naona Tanzania inakua kama conference center tu, maana for the past 12 months tume-host mikutano mikubwa sana zaidi ya saba na sioni chochote zaidi ya maisha yaleyale tu!
Tanzania ni kitovu cha kuvuna mahela huku wananchi wake wakiishi kwenye lindi la umaskini.
Mkuu wa kaya hapa yeye anaona ujiko subilini siku chache atakapo anza kujisifia kuhusu huu mkutano.
sasa wapendwa mnatoka saa ngapi ofcn ili mckumbane na hilo dhoruba?