I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Tarehe 9/12 tukutane barabarani

Kama wewe Ni Mbunge,Diwani au chawa nakushauri tarehe 9 kimbia nchi lasivyo litakukuta Jambo

Na kipindi hiki wakija kmkm tunakata umeme Zanzibar na tunaanzisha vikuni vya kujilipua kwao kwanza

Mpaka Samia aende kwao.
 
Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
 
Brittanica sema watanganyika tumelala ukiwemo na wewe mwenyewe.

Tatizo tunapenda kufanyiwa sisi tukiwa tumejificha halafu tunasema Gen Z wafanye kana kwamba nyie Gen X mnayapenda haya yanayotokea.

Hili ni letu sote tuingie mtaani wazee na watoto au marika yote.

Watoto wasiende shule nasi tusiende makazini kwa pamoja wataondoka.

Tuna muhitaji kila mtu kwenye hili, hakuna kwenda kazini na shule zifungwe tuingie wote kwa pamoja.

Tuache hizi story za Gen Z tokeni, tutoke sote tuikomboe nchi yetu, tuondoe serikali ya kijeshi tuiweke ya kiraia.
 
Wewe mtu kwa kuandika habari za uwongo naona umekubuhu. Alieyesambaratisha NCCR ni Joseph Selasini, mchagga kutoka Rombo.

Acha kujenga chuki kwa Watanzania dhidi ya Serikali yao.

Najuwa unaumwa kwa sababu unabii/ utabiri wako wa mambo mengi umefeli. Unajifanya eti una nyeti za ndani, kumbe uzushi tu
 
Inasikitisha sana kmmk mi najiuliza uyo mknda anashindwa nini ye afanye asiogope ataona nchi inavyofurahi na kukubaliana nae,
 
Nyie wajinga acheni kuhusisha wazanzibari na siasa chafu za CCM, sisi wenyewe ni wahanga wa dhulma za polisi kwa miaka 30 sasa, kila uchaguzi askari na majeshi kutoka bara wanakuja visiwani kuumiza wananchi, hatujawahi hata mara moja kuwahusisha watanganyika na dhulma hizo.
 
Hebu edit hapo watoe watoto, yaan kabisa unawaza kuwatoa watoto kwenye machafuko upo timamu kweli wewe? badala uwaze pa kuwaficha wewe ndio unawaza kuwatanguliza mbele.
Shame!
 
Haji Omar Kheir 2020 aliwatesa sana akina Jussa kwa kuwapiga na kuwachoma kwa pasi za umeme, aliwatesa sana ACT Wazalendo, na huwa anaongoza kikosi maalumu cha utekaji kule ZANZIBAR. Huenda ndo aliyeleta kikosi cha KMKM ambacho kimekuja kuua maelfubya watanganyika huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…