I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Kuna pattern fulani imejitengeneza, ni ngumu kuipuuzia. Angalia hata kikundi kilichoingia mitandaoni kutetea yaliyotokea na kuwazodoa wananchi, utagundua pia ni walewale wanaosemwa hapa.

As much as we hate it, we can't ignore the elephant in the room!
Wazanzibari ndiyo watetezi wa haya mauaji.
 
Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
Mzee mnafiki yule, katuachia majanga mengi sana.
 
Hapa ninaona umeelewa ndivyo sivyo, hana maana kwamba Wanzazibar wote wameungana na kupanga mipango hii, hii ina maanisha kuna wachache pale juu kabisa kwa kushirikiana na wachache kutoka huko huko ZnZ ndio wanaofanya haya.
Hivo mnavozungumza ni kama wazanzibari walitangaziwa masokoni kuwa twendeni mkaue watanganyika, lakini sivo hivo
 
Tulishindwa ile tarehe 29, tusahau kabisa kumwondoa Samuya. Ndio kwanza anazidi kupanga kete.
Too late.
 
Tulishindwa ile tarehe 29, tusahau kabisa kumwondoa Samuya. Ndio kwanza anazidi kupanga kete.
Too late.
Ulishindwa wewe ila Umma wa Tanganyika bado haujashindwa, hata uhuru wa Tanganyika haukupatikana siku 1, tutapambana leo, kesho, kesho kutwa mtondo, mtondogoo, wiki na hata mwezi hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma mpaka tufanikiwe.
 
Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.

Somebody must wake up!🥺🧐View attachment 3499404
Hawana wasi wasi tena hao maana wamehakikisha maisha ,familia zao mpk vining'ina vitaishi maisha mazuri..mtu mweusi kumuuza mtu mweusi mwenziwe ni dkk sifuri tu ubinafsi umetujaa
 
Brittanica sema watanganyika tumelala ukiwemo na wewe mwenyewe.

Tatizo tunapenda kufanyiwa sisi tukiwa tumejificha halafu tunasema Gen Z wafanye kana kwamba nyie Gen X mnayapenda haya yanayotokea.

Hili ni letu sote tuingie mtaani wazee na watoto au marika yote.
Watoto wasiende shule nasi tusiende makazini kwa pamoja wataondoka.

Tuna muhitaji kila mtu kwenye hili, hakuna kwenda kazini na shule zifungwe tuingie wote kwa pamoja.
Mwenye nchi (mwenye mali) unapewa kamesheni, mgeni (Mzanzibar) anauza mali zako. Kanogewa anataka kugeuza kila kitu kiwe cha wajomba zake Oman.

Palestina ndiyo ilivyokia, wayahudi walivyorudi kutoka uhamishoni waliuziwa ardhi kubwa na wapalestina wengi waarabu, fikiria Mwaka 1945 ilikua Hakuna nchi inaitwa Israel ndiyo mwaka huo ilipoaanza, leo Palestina imebakia strip tu baada ya ardhi kubwa kuuzwa na nyingine kuchukuliwa kwa nguvu.

Hiyo ndiyo kizimkazi & the gang wanataka kufanya.

Ardhi ya lololiondo ya wamasai
Mashamba ya miti ya carbon
DP World
Na sasa hii cleansing
 
7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.

Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.
Duh,
Inasikitisha mno aisee,

Kisingizio ni kuwa hao KMKM walipata fursa ya kulipiza kisasi kwa mauaji ya Wazenji ya 2001 yaliyotekelezwa na askari wa Bara!! Wameua Watanganyika kwa ukatili mkubwa sana

Watanganyika walio kwenye nafasi za kurekebisha haya wamegeuka kuwa machawa wa wahalifu. Sijui wamenunuliwa kwa bei gani..

Kwa kifupi, Tanganyika imekosa wazalendo wa kuitetea
 
Haji Omar aliwahi kuwa waziri wa vikosi maalum vya SMZ, ndiye mwasisi wa vikundi katili vya Mazombi wakati wa uchaguzi Zanzibar,
Na vikosi vya Zanzibar hufundishwa wao hawana vita ila vita yao ni wakati wa uchaguzi tu,
Ukatili wa watu hao ni zaidi ya mbwa mwitu.
Viongozi wa Tanganyika mnafurahia nchi yetu wanzanzibar wanaipiga mnada kidogo kidogo na ninyi mmetulia kwa kuhongwa mali zenu?
Mna akili kweli nyie mlioshikilia mpini?
Picha tafadhari ya huyu Haji Omar
 
Duh,
Inasikitisha mno aisee,
Watanganyika walio kwenye nafasi za kurekebisha haya wamegeuka kuwa machawa wa wahalifu.
Sijui wamenunuliwa kwa bei gani..

Kwa kifupi, Tanganyika imekosa wazalendo wa kuitetea
Kisasi hua hakifi kinalipwa hata baada ya miaka 10 au 20 au 30 au hata 50 kumbukumbu zinatunzwa tu muda ukifika kisasi kinalipwa,

Nakala moja kwa KMKM
 
Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe

Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover

Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF

Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi na ndani ya CCM wameamua kutumika kuhalalisha kilicho wazi kabisa cha Mhaini Suluhu Hassan kutumia baadhi ya Wazanzibari kutekeleza AZMA yake.

1. Waliohusika kwenye kuuza bandari kwa DP world wengi walikuwa Wazanzibari. Akianzia Mhaini mwenyewe, mpaka aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kipindi kile Mbarawa. Kumbuka hawakuuza za bandari za Zanzibar. vikao vilianzia dar Kisutu wakamalizia Kizimkazi, John wa Saphire Hotel unajua

2. Waliohusika kufungua kesi ya kuifungia Chadema walikuwa Wazanzibari. Aliyeshitaki alikuwa Said Issa Mohammed, na Jaji alikuwa Mzanzibari. Hii iko wazi na walipewa na Pesa sh 120M kuendesha shughuli zote za kesi na pesa ilipitia kwa KASABO

3. Walihusika kufungua kesi ya kukamatwa kwa viongozi wa Chadema walikuwa Wazanzibari, wakiongozwa na Said Issa Mohammed tena.

4. Waliohusika kuvuga NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa vikao vilivyotengenezwa na TISS, ni Wazanzibari wakiongozwa na Haji Ambar Khamis (Mzanzibari) ambaye ndiye alifadhiliwa kufanya hayo mapinduzi.

5. Hata walipokuwa wanapanga kufanya hijack ya uchaguzi ndani ya CCM,(Suala letu la July July)Mhaini alienda kujificha Zanzibar kariba mwezi wakipanga na Wazanzibar wengine jinsi ya kujiteua. Waligawa hela sana kufanikisha hilo.

6. Ambaye amepanga maangamizi ya Watanganyika ni Abdul akishirikiana na Haji Omar Kheir (Mshauri maalumu) wa Mhaini.

7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.

Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.

Somebody must wake up!

Britanicca
CCM wameiuza Tanganyika utumwani Zanzibar .Hivi kweli CCM walikosa Mtanganyika mwanaume wa kuwa Rais wa Tanganyika hadi wakubalu kutoa kafara ya damu za maelfu ya Watanganyika ili mwanamke wa nchi jirani ya Zanzibar aendelee kuitawala Tanganyika ? Inasikitisha sana .
 
Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
Namlaani sana huyu mzee yeye ndio katufikisha hapa.
 
Back
Top Bottom