I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Wewe mtu kwa kuandika habari za uwongo naona umekubuhu. Alieyesambaratisha NCCR ni Joseph Selasini, mchagga kutoka Rombo.

Acha kujenga chuki kwa Watanzania dhidi ya Serikali yao.

Najuwa unaumwa kwa sababu unabii/ utabiri wako wa mambo mengi umefeli. Unajifanya eti una nyeti za ndani, kumbe uzushi tu
Chawa wa Abdul mna shida sana mnatetea watu wanaoibagaza nchi yetu kwa kuhongwa vijisenti hamfikirii keshokutwa ya Taifa hili. Shame on you !!!
 
Haji Omar Kheir 2020 aliwatesa sana akina Jussa kwa kuwapiga na kuwachoma kwa pasi za umeme, aliwatesa sana ACT Wazalendo, na huwa anaongoza kikosi maalumu cha utekaji kule ZANZIBAR. Huenda ndo aliyeleta kikosi cha KMKM ambacho kimekuja kuua maelfubya watanganyika huku.
...
Weka record vizuri ni 10,000+... na hilo ni kadirio la chini
 
Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe

Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover

Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF

Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi na ndani ya CCM wameamua kutumika kuhalalisha kilicho wazi kabisa cha Mhaini Suluhu Hassan kutumia baadhi ya Wazanzibari kutekeleza AZMA yake.

1. Waliohusika kwenye kuuza bandari kwa DP world wengi walikuwa Wazanzibari. Akianzia Mhaini mwenyewe, mpaka aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kipindi kile Mbarawa. Kumbuka hawakuuza za bandari za Zanzibar. vikao vilianzia dar Kisutu wakamalizia Kizimkazi, John wa Saphire Hotel unajua

2. Waliohusika kufungua kesi ya kuifungia Chadema walikuwa Wazanzibari. Aliyeshitaki alikuwa Said Issa Mohammed, na Jaji alikuwa Mzanzibari. Hii iko wazi na walipewa na Pesa sh 120M kuendesha shughuli zote za kesi na pesa ilipitia kwa KASABO

3. Walihusika kufungua kesi ya kukamatwa kwa viongozi wa Chadema walikuwa Wazanzibari, wakiongozwa na Said Issa Mohammed tena.

4. Waliohusika kuvuga NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa vikao vilivyotengenezwa na TISS, ni Wazanzibari wakiongozwa na Haji Ambar Khamis (Mzanzibari) ambaye ndiye alifadhiliwa kufanya hayo mapinduzi.

5. Hata walipokuwa wanapanga kufanya hijack ya uchaguzi ndani ya CCM,(Suala letu la July July)Mhaini alienda kujificha Zanzibar kariba mwezi wakipanga na Wazanzibar wengine jinsi ya kujiteua. Waligawa hela sana kufanikisha hilo.

6. Ambaye amepanga maangamizi ya Watanganyika ni Abdul akishirikiana na Haji Omar Kheir (Mshauri maalumu) wa Mhaini.

7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.

Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.

Somebody must wake up!

Britanicca
Mungu nisaidie
 
Bongo kila mtu kwenye kitengo ana mambo meusi kama sio ulafi wa pesa ya umma basi umafia wa kuumiza wengine...

Tusiwape sana lawama wazenji wakati sisi wenyewe tuna upoyoyo uliotufanya tuwe hapa...

Wageni wengine wowote wanatembea kwenye njia hizo hizo za udhaifu wetu...
 
Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
Kwa hali ilivyo hivi sasa, Muungano unakwenda kutamatika soon.
 
Bongo kila mtu kwenye kitengo ana mambo meusi kama sio ulafi wa pesa ya umma basi umafia wa kuumiza wengine...

Tusiwape sana lawama wazenji wakati sisi wenyewe tuna upoyoyo uliotufanya tuwe hapa...

Wageni wengine wowote wanatembea kwenye njia hizo hizo za udhaifu wetu...
Wakiondoka wazenji tutaanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe ndio udhaifu wetu huu binaadamu. Tulilaumu wakoloni tukasema tujitawale wenyewe sasa aliepo madarakani hataki kuachia kawa yeye mkoloni. Na tusiokuwa na madaraka tumebaki kulalama
 
Chawa wa Abdul mna shida sana mnatetea watu wanaoibagaza nchi yetu kwa kuhongwa vijisenti hamfikirii keshokutwa ya Taifa hili. Shame on you !!!
Mimi siwezi ni kawa chawa wa mtu yeyote, hata Abdul namsikia tu mitandaoni, kikubwa natoa ushauri unaosaidia watu wasiingie matatizoni bure kwa kufuata mkumbo.

Najuwa wewe unabeza lakini wengi nawaokoa kwa kuonyesha madhara ya misuguano na Serikali
 
Hakuna kitu wazibar wanatidharau kama kukumbatia muungano wa upendeleo. Hakuna mzanzibar anataka mtanganyika afaidike na mali za Zanzibar. Na ukitaka kuamini leo hii isemekane viongozo wa Zanzibar wanaweza kutokea Tanganyika, na watanganyika wamiliki ardhi Zanzibar. Wanatuona sisi ni makubwa jinga.
 
Back
Top Bottom