britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
- #121
ExactlyHakuna kitu wazibar wanatidharau kama kukumbatia muungano wa upendeleo. Hakuna mzanzibar anataka mtanganyika afaidike na mali za Zanzibar. Na ukitaka kuamini leo hii isemekane viongozo wa Zanzibar wanaweza kutokea Tanganyika, na watanganyika wamiliki ardhi Zanzibar. Wanatuona sisi ni makubwa jinga.