time heals all wounds
Umri utakusaidia nini wewe?? kama huwezi kucomment bora uende kutafuta hela tu , umri wangu is no biznes of yours, got it?Ningependa kujuwa umri wako kwanza kabla sijacoment kitu hapa.
Hivi hizi love huwa zipo eeh?? Dah kazi kwelikweli, mimi huwa nasema nilizaliwa peke yangu tu, na hakuna kiumbe kitakachoweza kuhangaisha akili yangu kwa miezi kadhaa au eti miaka.....big no
Trust me, haitakuja kutokea kwangu.Hayajakukuta na uombe usikutane nayo tena watu kama nyie ndio mnakimbiliaga kujiuwa mkijua ndio suluhisho
Trust me, haitakuja kutokea kwangu.