I am still in love with my first love.

I am still in love with my first love.

Jipe muda kwanza wa kutosha( the best medicine of a broken heart is time) wat ua trying to do is to replace her which is not right. Wewe jipe muda na accept kwamba mmeacha na move forward.

Thanx 4 the advice...
 
Kupenda usikopendwa..mwenzako anafurahia maisha wewe unalia!
 
time heals all wounds

Spot on!..for sure Don, move on na maisha yako. Tena umesema chance ni ndogo ya nyie kurudiana. Kuna mtu aliniambie, moyo uliojaliwa kupenda hata uvunjwe mara ngapi utapenda tena. Let her go kimoja!!
 
Thanx Belinda...



Spot on!..for sure Don, move on na maisha yako. Tena umesema chance ni ndogo ya nyie kurudiana. Kuna mtu aliniambie, moyo uliojaliwa kupenda hata uvunjwe mara ngapi utapenda tena. Let her go kimoja!!
 
Ningependa kujuwa umri wako kwanza kabla sijacoment kitu hapa.
Umri utakusaidia nini wewe?? kama huwezi kucomment bora uende kutafuta hela tu , umri wangu is no biznes of yours, got it?
 
Hayajakukuta na uombe usikutane nayo tena watu kama nyie ndio mnakimbiliaga kujiuwa mkijua ndio suluhisho
Hivi hizi love huwa zipo eeh?? Dah kazi kwelikweli, mimi huwa nasema nilizaliwa peke yangu tu, na hakuna kiumbe kitakachoweza kuhangaisha akili yangu kwa miezi kadhaa au eti miaka.....big no
 
hmmm tuangalie lugha tunazotumia jaman khaa kuumizana macho huku bureee!😛oa
 
Kuumia kisa mapenzi ni kuchagua tu,jipe muda na jipange hawa malaika huwa wanakuja na kutouch your heart in their own ways.
 
Mangi Pole sana!
Hebu tafuta fedha kwanza aisee mambo ya huyo kwanza yaweke pembeni! Yaani miaka minne keshakusahau! Shukuru Mungu sana kajionyesha mapema maana ungekuwa uashaoa huyo binti afu mkatenganishwa ungekuta nusu ya watoto sio wako! Kaz buti Mangi ongeza kipato then atatokea mmoja utakayempenda kwa dhati naye atakupenda kwa ampenzi ya ukweli. Kumbuka Mke mwema utapewa na Mungu nami naamini Mungu hakuchukii hivyo mwombe naye atakupa mke mwema!
 
k'ha! we utakuwa ullilishwa limbwata, hivi una umri gani? kama vingi nikusaidie kumsahau, 4yrs kama film za kihindi dah! hivi kumbe huwa vinatokeaga kweli? pole .
 
Back
Top Bottom