Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha ha todo lo mejor Mkuuestoy loco y lo acepto pero dejo que el amor lidere el mundo
Kasinde we jua wakumbukwa siku zote tokea jiografia hii nilipo [emoji41]Aahahahahaaa sukariii mamboo...
Mekumiiithiiii..... nani kakufungia hata huonekanii sukariiiii... naona ni mwendo wa kulowekewa nguo tuu heehehehehee
Ewaah, hapa sasa tunaenda sawa ajuza K mwenye matata yake.Ahahahahahaaa double N,
Kasinde amehorojeshwa na Muembe Dodo na msimu wa maembe ndo huu umeingia, dodo tamu mti uko uani na kwa jirani yaani ndo hilo jiwimbo hapo juu likasema huyu Dodo huyu ndo wa pekee kwa jili ya Kasie an Kasie ndo mahsusi bin maalum kwa ajili ya Dodo oooeeeooooo ooooeeeeoooo.... he is the only one..
H ha haa estoy loco y tú eres mi amigo, tú tambiénHa ha ha ha ha todo lo mejor Mkuu
How did you know Mriga...???
Yes,without a doubt.Really....!!!???
Naona baharia yuko kwenye majukumu yakeNtaendelea kukudekeza na kukubembeleza mpaka ziraili atakapoamua kumchukua mmoja wetu...
View attachment 1263106
Kasinde we jua wakumbukwa siku zote tokea jiografia hii nilipo [emoji41]
Nguo zimelowekwa, viatu kala mbwa, nipo tu ndani nakoshwa na maji ya hiriki nasuguliwa na machicha ya nazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za moshi wa mmea hizi)
Aahahahhahaaa watuuu, nisalimie your the one.....
Cheers and ciao.
Hahahahah dah.... umenifanya nicheke msibani aseeNaona baharia yuko kwenye majukumu yake
Hahahahah dah.... umenifanya nicheke msibani aseeNaona baharia yuko kwenye majukumu yake
AhahahaKasie, ukudekeza na kukubembeleza mpaka ziraili atakapoamua kumchukua mmoja wetu...
View attachment 1263106
Tumeshauriwa tuwatunze na kuwafariji wajane. Sasa mjane kama huyu ambae mmewe kafa kwa ajali ufariji wake unakuwa si sawa na yule ambae mmewe kafariki baada ya kuugua muda mreeeefuuu...Wee babu wewee, msibani hadi saa tano usiku...!!!! unafanya nini wakati wafiwa wamelala? unamfariji nani sasa kama wafiwa wamelala fofofo.... ahahahahaaa