I am the one for you Babe.... Yeeaaahh....!

I am the one for you Babe.... Yeeaaahh....!

Aahahahahaaa sukariii mamboo...

Mekumiiithiiii..... nani kakufungia hata huonekanii sukariiiii... naona ni mwendo wa kulowekewa nguo tuu heehehehehee
Kasinde we jua wakumbukwa siku zote tokea jiografia hii nilipo [emoji41]

Nguo zimelowekwa, viatu kala mbwa, nipo tu ndani nakoshwa na maji ya hiriki nasuguliwa na machicha ya nazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za moshi wa mmea hizi)
 
Ahahahahahaaa double N,

Kasinde amehorojeshwa na Muembe Dodo na msimu wa maembe ndo huu umeingia, dodo tamu mti uko uani na kwa jirani yaani ndo hilo jiwimbo hapo juu likasema huyu Dodo huyu ndo wa pekee kwa jili ya Kasie an Kasie ndo mahsusi bin maalum kwa ajili ya Dodo oooeeeooooo ooooeeeeoooo.... he is the only one..
Ewaah, hapa sasa tunaenda sawa ajuza K mwenye matata yake.

Shaibu Double nakukaribisha kijiweni tupate chai ya ugoro.
 
Kasinde we jua wakumbukwa siku zote tokea jiografia hii nilipo [emoji41]

Nguo zimelowekwa, viatu kala mbwa, nipo tu ndani nakoshwa na maji ya hiriki nasuguliwa na machicha ya nazi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787](akili za moshi wa mmea hizi)

Aahahahhahaaa watuuu, nisalimie your the one.....

Cheers and ciao.
 
Yes,without a doubt.

Aahahahahahaaa I like it the way you easily identify....

Just singing and swinging, am the only one for him... Dodoo... Am the one....

K' Matata.
 
Hahahahah dah.... umenifanya nicheke msibani asee

Wee babu wewee, msibani hadi saa tano usiku...!!!! unafanya nini wakati wafiwa wamelala? unamfariji nani sasa kama wafiwa wamelala fofofo.... ahahahahaaa
 
Kasie,

Hivi Cassie hujawahi kutana na wanaume wakaku-heartbreak mpaka ukaona mapenzi sio something real?

Maana wasichana wengi rika lako mapenzi yashakua mtihani mgumu sana already!

Wewe kwako naona tofauti and it leaves me wondering,who’s Cassie really-really?
 
Wee babu wewee, msibani hadi saa tano usiku...!!!! unafanya nini wakati wafiwa wamelala? unamfariji nani sasa kama wafiwa wamelala fofofo.... ahahahahaaa
Tumeshauriwa tuwatunze na kuwafariji wajane. Sasa mjane kama huyu ambae mmewe kafa kwa ajali ufariji wake unakuwa si sawa na yule ambae mmewe kafariki baada ya kuugua muda mreeeefuuu...

Nadhani ushakuwa mkubwa sasa umenielewa vizuri...
 
Back
Top Bottom