I and the FATHER are one!

Kuondoa utata huo,

Ndipo Jina la Mungu Mmoja likafunuliwa kupitia Malaika Gabriel,

Kwamba utazaa mwana na kumwita Yesu yaani Mungu pamoja na WANADAMU.

Sasa Jina la Mungu huyo mmoja ni Yesu, huyo Krishna ni kinyaggo tu, miungu inayotaka iabudiwe , Yesu alishaonya hayo. Yeyote ajaye Kwa Jina tofauti na YESU, huyo ni WA kuzimu.

Kijana elewa jambo hili Rahisi kuwa,

Mungu ni MMOJA, NAFSI Moja alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa,akaitoa Roho yake, Kisha kuirudisha katika mwili, Kisha akapaa Mbinguni.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.
 
Amen Amen....
Praise Jesus.
Amen,

Kuna watu wanadai wana.jua Mungu hapo hapo wanapinga Uungu wa Yesu.

Sasa watu hao ni watumishi wa mfalme wa kuzimu.

Mungu ni MMOJA na NAFSI Moja,

Jinale ni Yesu Kristo YESHUA HAMASHIACH.

Amen
 
Sawa kondoo wa bwana ngoja tu nikuache hamna namna.
Ndio kabisa,

Mimi kondoo,

Wewe mbuzi.

Sasa kuelewana mwana mbuzi na mwana kondoo Si Rahisi. Shetani pia ana pembe za mbuzi na kwato za mbuzi, Si kondoo .

Tukubaliane kutokubaliana,

Lakini UKWELI ubaki pale pale kuwa

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Mimi asili yangu ni Mbinguni,

Hujakosea.

Na kamwe, wenye asili Toka chini na mwenye asili Toka Mbinguni hawawezi kuelewana.

Ndo maana nikakwambia hivyo ni vitu ulivyolishwa na ukabandikiwa kwenye server za ubongo wako na huna ushahidi navyo..
Mbingu ni kitu cha kufikirika kilichotumika kwa ajili ya kufundishia watu wenye ufahamu na uelewa mfupi ili wapate uelewa wa maisha baada ya Kifo,,,
Ila Dunia hii hapa hata na wewe uko juu yake pia...
Kwa ufupi Mbingu ni kitu cha kufikirika kwa wanaoishi maisha ya kufikirika...
 
Mbingu ni halisi,

Na Dunia ni halisi.

Kisichoonekana Kwa macho Yako haimaanishi hakipo, kipo Sema hukioni.

Mbinguni ni juu, duniani ni chini. Na Ulimwengu wa Roho ni halisi Si dhahania.
 
Huyo Mungu ni mmoja kwako na mimi nina Mungu tena ni mmoja...
 
Mbingu ni halisi,

Na Dunia ni halisi.

Kisichoonekana Kwa macho Yako haimaanishi hakipo, kipo Sema hukioni.

Mbinguni ni juu, duniani ni chini. Na Ulimwengu wa Roho ni halisi Si dhahania.
Juu wapi na chini wapi? Dunia ni "oval" shaped.. Sasa hiyo " JUU" ni juu ya Marekani au Sudan?... Ndo maana nikakwambia hizo ni concept za kufundishia watu wenye ufahamu na uelewa finyu...
Hicho unachokiona ni mwisho wa upeo wa macho yako, usiruhusu ikawa ndo mwisho wa upeo za fikra na utimamu wako.
Hata umeme hauonekani ila unaonekana..
Ulimwengu wa roho ni dhahania ndo maana ili uwepo ni lazima uwe ni "mdhanifu" kwasababu walioutengeneza walijua hatufanani ufahamu...
 
Wewe ndiye mwenye uelewa finyu,

Mbinguni ni juu,

Duniani ni chini,

Na Dunia ni duara, Si kama chungwa, Bali kama coin.
 
Hongera kwanza kwa kuwa na imani, ni jambo zuri kuwa na imani kuliko yule asiyeamini chochote. Tatizo mambo ya imani ni hasasi na kujadiliana katika hizi forum ni mtihani mkubwa, kwani huenda zikapita kauli ambazo si za kiungwana na kuleta hisia mbaya kwenye mjadala.
Ikiwa tutakuwa na dini ni kwa kuwa tumezaliwa ilhali wazazi au walezi wetu tumewakuta na dini hizo, ila baada ya kukuwa na kupata akili tunakutana na imani zenye kukinzana na imani zetu, hapo ndiyo inapotakiwa hekima, busara na utaalamu wa kujua kwa nini tunatofautiana.
Tatizo kumuelewa Yehshua (Yesu) ni ngumu sana, kwani hata maandiko ukiyasoma utakuta wanafunzi wake walishindwa kumfahamu. Ndiyo mjumbe pekee wa Mungu atakayerudi duniani ili ayaweke mambo sawa.
 
Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu. Abrahamu hakufanya hivyo.
 
Yesu atakuwa mungu wa drama balaa!
Why aingie tumboni kwa Mariam, akae miezi 9 akiwa hajitambui, azaliwe apite mahali pa chafu, akae hawezi kutembea, kula mpaka asaidiwe kwa miaka mingi. Ajikojolee na kujinyea ..

Kisha aingie kitaa, awazingue watu, wampe kipigo kikali na kumuua..

Drama zote hizi za nini?

Nadhani haya ni mawazo yanayoonesha uchovu wa binadamu kumjua Mungu Muumba, na kisha kudandia viumbe ili kurahisisha mambo!

Pia huwezi kuthibitisha hayo kupitia kitabu hicho hicho kinachotoa madai! Hiyo inaitwa circular reasoning!

Yesu ni 'mungu' kwa maana kuna watu wanamuabudu ila katu MUNGU MUUMBA sio Yesu!
Tuweni serious ndugu zangu!
 
(Soma mithali 8:22-34)

Yesu alikuwapo kabla ya kuingia ulimwenguni na kuvaa mwili wa mwanadamu.

Unakwama wapi?

Soma tena na tena.

(Yohana 10:30)

I and the FATHER are one.
 
Kwahiyo shetani alimchukua mungu yesu akampeleka juu ya mlima, akamwambia nisujudie nikupe mali zote za dunia hii!!!
Yesu akamjibu shetani, imeandikwa " Usimjaribu BWANA Mungu wako,

Sasa shetani hakubisha Yesu alipomjibu kuwa Mungu Usimjaribu. Na hakubisha kwamba wewe YESU Si Mungu, aliufyata.

Kisha shetani akamwacha, Malaika wakashuka kumhudumumia.

Shetani anajua Yesu ni Mwana wa Mungu/ Mungu.

Waulize hata Waganga wako wa kienyeji wapiga ramli kuwa Yesu ni nani, watakwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…