I and the FATHER are one!

I and the FATHER are one!

Ina maana BABA naye alitundikwa msalabani?
One God.

NAFSI Moja,

In different forms, akiwa kitini aitwa Baba,

Akiumba Ulimwengu aitwa Neno.

Alivaa mwili aitwa mwana.

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO /YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Amen
 
Wamekupotezea tu mkuu ,sidhani kama wamekukumbia ndugu mtumishi🤗
Si Rahisi kunipotezea,

Wananiita Mimi Kondoo,

Mimi nawaita Mbuzi kama baba Yao pia aitwa Goat ana mapembe na kwato na mkia, Yuko kule chini.
 
Sasa nakuuliza swali hunijibu.

Kama Yesu ndiye huyohuyo BABA, Je BABA alitundikwa msalabani?
One God in different forms.
Yes alisulubishwa msalabani akiwa katika form ya mwili wa mwanadamu.

Ndio maana hivi sasa yupo KITI Cha enzi mikono yake inavuja Damu na ana matundu ya misumari. According to the book of revelation.

Nimejibu swali lako?
 
Si Rahisi kunipotezea,

Wananiita Mimi Kondoo,

Mimi nawaita Mbuzi kama baba Yao pia aitwa Goat ana mapembe na kwato na mkia, Yuko kule chini.
Uzuri mmoja nyie wote mnasoma hadithi za kutungwa tu ,hakuna hata mmoja aneweza kuthibitisha uwepo wa Mungu🤔 kwa hiyo pipa na mfuniko sio vibaya mkakinzana kwenye baadhi ya mambo 🤗🤗🤗🤗
 
Uzuri mmoja nyie wote mnasoma hadithi za kutungwa tu ,hakuna hata mmoja aneweza kuthibitisha uwepo wa Mungu🤔 kwa hiyo pipa na mfuniko sio vibaya mkakinzana kwenye baadhi ya mambo 🤗🤗🤗🤗
Sasa wewe usiyeamini juu ya uwepo wa Mungu upo level ya chini sana kuliko hata msukule.

Mungu yupo, wewe ungezunguka sayari zote umtafute kama wafanyavyo wazungu, ukimkosa ndipo useme hayuko.

Pole sana ndugu.
 
One God in different forms.
Yes alisulubishwa msalabani akiwa katika form ya mwili wa mwanadamu.

Ndio maana hivi sasa yupo KITI Cha enzi mikono yake inavuja Damu na ana matundu ya misumari. According to the book of revelation.

Nimejibu swali lako?

Sasa kama BABA ndiye aliyesulubishwa na kufia msalabani basi kazi ipo!
 
Sasa wewe usiyeamini juu ya uwepo wa Mungu upo level ya chini sana kuliko hata msukule.

Mungu yupo, wewe ungezunguka sayari zote umtafute kama wafanyavyo wazungu, ukimkosa ndipo useme hayuko.

Pole sana ndugu.
Tuongee vizuri leo , huyo Mungu yupoje pia thibitisha hapa uwepo wake🤔
 
Umevuka vipi ikiwa Hadi sasa huamini kama yupo?

Hii sasa KAZI🤣
Nimetoka kuto kua na hakika sasa nataka kuwa na hakika, kipi kiarabu hapo ndugu mtumishi 🤔🤔🤔
 
Kwa hiyo wapo pia Watakatifu ambao hawapo duniani. Wapo wapi hao?
Wapo WATAKATIFU ambao wamelala mauti katika HAKI wapo Mbinguni.

Yesu ajapo kunyakua Kanisa, atakuja na WATAKATIFU wake.

Baada ya Yesu kufufuka, WATAKATIFU hawabaki tena kaburini, ni Mbinguni direct.

Maandiko yapo wazi na hayapingiki.
 
Unaamini kuwa Mungu yupo? Kabla ya kwenda hatua ya kumjua?
Kuamini nishafanya hivyo sasa nataka uthibitisho wa yeye kuwa yupo uzuri mmoja nipo fiti kiblia , sasa twende kazi 🤔
 
Back
Top Bottom