I and the FATHER are one!

I and the FATHER are one!

Kwa ku thibitisha tu
Mwamini Yesu Kwa kufuatisha Sala hapo juu Kisha tuendelee, nikusaidie umjue.

Kumjua Yesu/ Mungu ni zaidi ya mahusiano ya mke na mume au mama na mtoto tumboni.

Ni uhusiano wa karibu sana, unaongea naye, unamsikia na kumuona kabisa katika Roho.
 
Hivi mkuu nikikuambia huku nilishavuka huwa unanielewa kwel 🤔🤔
 
🤣🤣😅😅
Rabbon Tatizo kashikilia Mawazo aliyofundishwa na kajibana sana kwenye Kibox na Hataki Kutoka Humo
Hahahaha alivyojibana sijui kama anafahamu hata mimi nilijibana hivyo hivyo 😅😅😅😅 mbaya zaidi kabla ya kujibana ;mimi nilikua mwislamu safi kabisa😅😅
 
Mimi NIKO hatua ya juu kuliko zote.

Wewe ndio unahitaji upande viwango,

Viwango vyako unapanda kushika chini,

Mimi napanda kwenda juu.

Karibu 🙏
Thibitisha unapanda kwenda juuu na sio kushuka chini😂😂😂
 
Hahahaha alivyojibana sijui kama anafahamu hata mimi nilijibana hivyo hivyo 😅😅😅😅 mbaya zaidi kabla ya kujibana ;mimi nilikua mwislamu safi kabisa😅😅
🤣

Waislamu ni level ya chini sana.

Wanajua mengi ya chini kuliko ya juu🤔
 
Jamaa zako wamekuita kuomba msaada uwasaidie.

Ingawa pia wote nawawwza Kwa msaada wa Mungu Roho mtakatifu.
Hahahaha mimi niombe msaada😅😅😅😅 ??? Au nitoe msaada ikiwa pamoja na kukupa msaada wewe🤔🤔🤔
 
🤣

Waislamu ni level ya chini sana.

Wanajua mengi ya chini kuliko ya juu🤔
Nikuambie tu japo imani zote ni utapeli tu ila ningeamua kuwa na imani ningekua mwislamu kuliko kuwa mkristo niulize kwa nini🤔
 
Hahahaha mimi niombe msaada😅😅😅😅 ??? Au nitoe msaada ikiwa pamoja na kukupa msaada wewe🤔🤔🤔
Yaani wewe kipofu unayeamini unaona,

Unisaidie Mimi niliye na msaada wa Roho mtakatifu ndani yangu?

Mimi nayajua yote katika Roho, wewe unajua vichache sana.
 
Nikuambie tu japo imani zote ni utapeli tu ila ningeamua kuwa na imani ningekua mwislamu kuliko kuwa mkristo niulize kwa nini🤔
Kwa sababu Giza na uislamu vimekaribiana sana.
 
Yaani wewe kipofu unayeamini unaona,

Unisaidie Mimi niliye na msaada wa Roho mtakatifu ndani yangu?

Mimi nayajua yote katika Roho, wewe unajua vichache sana.
Mkuu wewe ni mlokole tu hauna uwezo wakujua chochote kuhusu maumbile tofauti na imani ambayo bado ipo kwenye box😅😅
 
Hahahaha alivyojibana sijui kama anafahamu hata mimi nilijibana hivyo hivyo 😅😅😅😅 mbaya zaidi kabla ya kujibana ;mimi nilikua mwislamu safi kabisa😅😅
Anafikiri wote hatujatoka Huko..

Hii ni sawa na Mtoto wKo mwenyewe anapobalehe anaanza kukudanganya Vitu anahisi Wewe Hukupitia Balekhe..
Na ukiona hivyo unakuwa unamkubalia Ili aendelee kukuona Hujui ili awe huru 😅😅
 
(Yohana 10:17-18)

Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, Bali Mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uwezo wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena.

...... mwisho wa kunukuu....

Ndipo ujue hata Malaika mtoa Roho hakuweza kupita na Roho ya Yesu, maana Yesu ndiye huyo huyo Mungu Mmoja.

Aliutoa uhai katika mwili wa mwanadamu Kisha kuurejesha tena.

Kulia, kuhuzunuka ni mwili wa nyama na hisia za kimwili maana alivaa mwili na kuwa kama mwanadamu Ili kuuokoa Ulimwengu, lakini KATIKA Roho, alikuwa huyo huyo Mungu Mmoja.

Amen
Hapa kwenye kuuokoa ulimwengu inanichanganya,yeye ni muweza wa yote inakuwaje aumbe watu watu waliomgeuka?
Hawa watu wana uwezo mkubwa kuliko yeye aliyewaumba?
 
Back
Top Bottom