I blame my self for letting you in Dear love


I have very simple principle...
Em ngoja niongee kiswahili tuelewane vizuri.
Iko hivi, jukumu la furaha yangu ni langu mwenyewe, hiyo simwachii mtu mwingine.

Hivyo basi, naamini kwamba "mtu yeyote, anaweza kufanya kitu chochote, wakati wowote bila kujali chochote" kwa muktadha huo, sishtushwi sana na matukio.

Na nilishaamua kusamehe yote yanayotokea, kusahau sio rahisi ila najitahidi hata nikikumbuka, ininiumize au kuniletea shida. Kumbuka tatizo linakua lipo kwenye mawazo yako tu lakini sio uhalisia.

Ukibadili unayowaza au kutizama mambo kwa mtizamo tofauti unabadili maisha yako kabisa.
 
You are Right.
Naomba niendelee kwa kiswahili ili tuelewane.
Ni kweli mwenye jukumu la kusimamia furaha yako ni wewe.

Haya maisha ni vurugu vurugu. Fikiria umekerwa na watu 10 halafu umewashikilia kwenye kumbukumbu zako. Mambo mengine utayahifadhi wapi.

Kati ya watu ninaowasahau haraka ni watu waliovunja uaminifu kwangu. Tunaweza pishana hata barabarani nisikujue😊😊.

Kukumbuka Nita kumbuka kama mtu atanikumbusha, tena hapo nitakumbuka kwa mbaaaaaali.
 
Life
 
That is life, some person sees us opportunity, stand with us not because they love us, they see what we see or they with us to accomplish our task (mission,vision and focus) but rather they're with us to exploit to maximum that leads to our destruction and you can realise this after entering in their trap and they're so trick. What we suppose to do is, to have clear map of where we are going, and to try harder to create independent system that can help us to have new and different life that exclude those destructive person, to regain our life, to regain our happiness. Needs time so needs to be patient is like when you lost a path,
NB. Forgive but don't forget carry it like lesson but don't be busy in that class.
We have to forgive and forgive ourself.
Sorry najikuta naandika, andika tu na emotion zangu. Too sad.
 
A despair caused by an honored admission is more harming than that caused by a trickery.As long as you have forgiven,passage of time will take care of the rest.As you said holding into hatred doesn't do you any good. Don't Trust that person again.He/She Might have failed on the first attempt,given another chance they will kill you!
 
Principle, sometimes we even forget those principles we set for ourselves,


Kaboom you are hurt! 😊😊
Mimi siku hizi nikigundua nimeumia, najiita mjinga najichekaaa 🤣🤣🤣🤣 maisha yanasonga
I don’t take things ( even people) serious
 
Wakuu Things happen unexpectedly, the way she was caring loving ....nlizama mazima maana she knows my A ,,toka kufukuzwa kazi mpaka kusimama tena mimi kama mimi..nikiwa nae ..ila.... Nina mengi Yananiumiza ila nimeamua kupambana nayo replies nyingi zimenipa pa.kuanzia
 

You will live longer Chief!
 
Kwanini ujiumize kwa kujifanya humfahamu mtu pale mnapokutana kisa alikukosea, maisha ni furaha ukiwajua walimwengu hawawezi kukukosesha usingizi msalimie Cheka then endelea na yanayokuusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…