The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
It's okay if you choose to forgive and not to forget, it'll help you to not open yourself up to the same issue again.
If someone did something wrong the first time, there is the chance it'll happen again.
I don't tend to hold grudges. I am a forgiving and forgetful person, only if he/she has admitted that they are wrong. I hate when I allow idiots live in my head rent-free.
I have very simple principle...
Em ngoja niongee kiswahili tuelewane vizuri.
Iko hivi, jukumu la furaha yangu ni langu mwenyewe, hiyo simwachii mtu mwingine.
Hivyo basi, naamini kwamba "mtu yeyote, anaweza kufanya kitu chochote, wakati wowote bila kujali chochote" kwa muktadha huo, sishtushwi sana na matukio.
Na nilishaamua kusamehe yote yanayotokea, kusahau sio rahisi ila najitahidi hata nikikumbuka, ininiumize au kuniletea shida. Kumbuka tatizo linakua lipo kwenye mawazo yako tu lakini sio uhalisia.
Ukibadili unayowaza au kutizama mambo kwa mtizamo tofauti unabadili maisha yako kabisa.