911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
labda unamiaka 18 hahahah5
1. 5x2=10
2. 10+5= 15
3. 15 x 50 = 750
4. 750 + 1768 = 2518
5. 2518 - 2000 = 518
Final answer = 518
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda unamiaka 18 hahahah5
1. 5x2=10
2. 10+5= 15
3. 15 x 50 = 750
4. 750 + 1768 = 2518
5. 2518 - 2000 = 518
Final answer = 518
Ndio mkuulabda unamiaka 18 hahahah
Andika tarakimu ulizopata Miss tujue umri wakoKweli nimepatia loh
Ni uchawi ama?
ShkamooNdio mkuu
Profile yangu iko vyema kabisa
Mahaba niue my..Shkamoo
Mahaba niue my..
Yaani hunizidi mimi my wanguNimekuham mimi
Hata nikikuambia na hujui mwaka wangu wa kuzaliwa na birthday yangu utajuaje Mkuu?Andika tarakimu ulizopata Miss tujue umri wako
Heko kwa dangoteDah! Ni kweli 444, kama Channel ya Wasafi Tv kwenye Startimes.
hahhaa mkuu kumbe una makamo sawa tu na ally Hassan mwinyi""
X na YZ zote ni SAHIHI kwangu. Amazing.I can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu,
Hatua ya kwanza: Chukua namba yoyote kati ya 1-9, yani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1, chukua namba yoyote moja tu kati ya hizo 9,
Hatua ya pili: Ile namba moja uliyo ichukua kwenye hatua ya kwanza izidishe mara x2,
Hatua ya tatu: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya pili lijumlishe na 5,
Hatua ya nne: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tatu lizidishe Mara x50,
Hatua ya tano: Kama tayari umesha sherekea birthday yako mwaka huu jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1768, na kama bado ujasherekea jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1767,
Hatua ya sita: Sasa jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tano unatakiwa utoe na mwaka wako ulio zaliwa mfano (toa 1999),
Sasa jibu litakalo kuja baada ya kutoa litakuwa na tarakimu tatu,
The incredible results,
X - Namba moja ya mwanzo kutoka kushoto kati ya zile ulizozipata kwenye zile tarakimu tatu ulizozipata kwenye hatua ya mwisho ni namba moja wapo kati ya zile 1-9 ulizo zichagua kwenye hatua ya kwanza,
YZ- Namba zile mbili za mwisho ulizo zipata kwenye hatua ya mwisho tokea kulia ni miaka uliyo nayo sasa hivi, nileteeni mrejesho hapa.......,