Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa. Lol5
1. 5x2=10
2. 10+5= 15
3. 15 x 50 = 750
4. 750 + 1768 = 2518
5. 2518 - 2000 = 518
Final answer = 518
Nishakuwa mtu mzima Dada yanguHahahaaaa. Lol
I can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu,
Hatua ya kwanza: Chukua namba yoyote kati ya 1-9, yani 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1, chukua namba yoyote moja tu kati ya hizo 9,
Hatua ya pili: Ile namba moja uliyo ichukua kwenye hatua ya kwanza izidishe mara x2,
Hatua ya tatu: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya pili lijumlishe na 5,
Hatua ya nne: Jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tatu lizidishe Mara x50,
Hatua ya tano: Kama tayari umesha sherekea birthday yako mwaka huu jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1768, na kama bado ujasherekea jumlisha jibu ulilolipata kwenye hatua ya nne na namba hii 1767,
Hatua ya sita: Sasa jibu ulilo lipata kwenye hatua ya tano unatakiwa utoe na mwaka wako ulio zaliwa mfano (toa 1999),
Sasa jibu litakalo kuja baada ya kutoa litakuwa na tarakimu tatu,
The incredible results,
X - Namba moja ya mwanzo kutoka kushoto kati ya zile ulizozipata kwenye zile tarakimu tatu ulizozipata kwenye hatua ya mwisho ni namba moja wapo kati ya zile 1-9 ulizo zichagua kwenye hatua ya kwanza,
YZ- Namba zile mbili za mwisho ulizo zipata kwenye hatua ya mwisho tokea kulia ni miaka uliyo nayo sasa hivi, nileteeni mrejesho hapa.......,
Upo vizuri sana mkuu, the way hii hesabu ilivyo tengenezwa mtu asipogundua mbinu zilizo tumika kutengenezea hii hesabu anaweza jua ni uchawi,Trick ipo hivi,
Hiyo hesabu naigawa sehemu mbili; sehemu ya kwanza kupata umri.
sehemu ya pili kugundua namba uliyochagua inatokeaje kushoto mwa jibu la mwisho.
Sehemu 1:
ili kupata umri wako ni hesabu rahisi; chukua mwaka huu 2018 unatoa mwaka uliozaliwa.
Ujanja wa hii hesabu ni kucheza na namba mpaka kupata hiyo 2018.
jumlisha 5, zidisha kwa 50, jumlisha 1768
5 * 50 + 1768 = 2018
sehemu 2:
ukichukua namba yoyote ukazidisha kwa 100 lazima hiyo namba itokee kushoto;
mfano; 4 * 100 = 400
kama umechagua 4; zidisha kwa 2, halaf zidisha kwa 50. ( 2*50 = 100)
kwa kifupi chukua 4 zidisha 100 lazima upate 400, hata ukichagua 7 ukizidisha 100 itakuja 700.
hiyo 700 ukijumlisha umri wako tuliotafuta hatua ya kwanza kazi imeisha.
Mengine ni ujanja wa namba tu badala ya kukwambia jumlisha 10 atakwambia jumlisha 7 halafu jumlisha 3. Hakuna uchawi hapo.
Hesabu ya kawaida sana hii, wala hakuna muujizaI can guess your real age, kwa kutumia hesabu, unatakiwa tu kufuata maelekezo yangu,