grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .Suluhishi ni ndoa ya kiislam TU,unakuja kama ulivoondoka,nothing less,nothing more..........kinyume na hapo hesabu maumivu
Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .