" I can never make the same mistake of getting married again" Jeff Bezos

Suluhishi ni ndoa ya kiislam TU,unakuja kama ulivoondoka,nothing less,nothing more..........kinyume na hapo hesabu maumivu
Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .

Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .
 
No ex jeff ndo amefile taraka na mme wake mpya ambaye ni mwalimu.
Jedd yes alikuwa anacheat na huyo reporter ndo chanzo cha taraka yake.
Mapenzi kizunguzungu in saida karoli voice
Aah kumbe
Kweli hela sio kila kitu
Yaani na ex anatimua nae daa haya maisha haya
 
Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .

Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .
Ulaya hawatizami elimu ya imani yoyote, as long upo ulaya au US ,mwanamke akikupeleka kwa Pilato hawatizami bali ni sheria za nchi. Hamna kitu wanacho ogopa ulaya kama talaka,kwani zinawapukutisha hela sana wanaume na kaa ukijua baada ya kumpa nusu ya utajiri bado kuna hela unampa mwanamke kila mwezi,hiyo ipo nje ya child support.
 
Ndiyo maana prenuptial ni muhimu kwa hizo nchi shida ni kwamba wengi wanajikuta wamekuwa tricked kufunga ndoa bila ya ku sign prenuptial agreement , mbona elon ameshaoa na kuacha kama mara tano hivi na hajawahi kugawana mali pasu kwa pasu? Issue inakuja kwenye prenuptual agreement ukijokuta una mapenzi sanaaa mwisho unajikuta kwenye mtego utakaokumaliza kila kitu.
 
Prenuptial mademu wengi ulaya hawazitaki, japo wapo wachache wanao kubali. Halafu Musk design ya watu ambao wanao hitaji sex na watoto ila maswala ya feelings za mapenzi hana kabisa,yy kila kitu anatanguliza akili tatizo kuna wengine wanatanguliza moyo na ndio wanapo ingia mazima.
 
Yeah! Kuna podcast waliwahi kuzungumzia ishu ya kwanini linapokuja swala la prenup mahusiano mengi hufia hapo na initiator huwa mwanamke always , hitimisho ilikuwa kwamba majority wapo kifaida zaidi .
 
Ndio maana kwa US asilimia 75/80% za mashauri ya talaka hufunguliwa na wanawake, sababu wanajua wanafaidika kupitia talaka.
 
Jeff Bezos ni simp ukimuangalia tu unaona.

Anaweza kuwa mjanja wa kuwahi kuona fursa ya Amazon na kutengeneza hela lakini kwa wanawake anaonekana kabisa hana ujanja.
Ujanja ni kuto kuoa. Ukishaoa huwezi kujitia ujanja tena
 
Hapa ndipo wengi wanakosea , kama mlichuma wote ndani ya ndoa mfano mke akiwa na biashara au kazi na mkatengeneza wote utajiri basi mtagawana nusu kwa nusu kile mlichotengeneza, hii ndiyo sheria ya kiislamu , na kwa mfano mume ukafa na mlichuma wote mali basi itapigwa hesabu mke atapewa nusu yake halafu kumbuka pia mke anamrithi mume hivyo kwenye hiyo nusu ya marehemu iliyobaki atapewa mke kiwango cha mirathi kutokana na sheria za mirathi kiislamu na kwa mume hivyo hivyo .

Watu hawana elimu ya dini ndiyo maaana wanadhulumiwa kirahisi na ndiyo maana elimu ya dini ni muhimu sana .
kwahyo utaenda na kitabu chako cha dini mahakamani?
 
Niliye mquote amegusiq uislamu nilichokifanya ni kumrekebisha kidogo , na kuhusu kwenda na kitabu mahakamani kwani haujui ndoa za kiislamu huwa zinasimamiwa na mahakama ya qadhi? Ambapo kwa Tanzania mamlaka hayo wanayo bakwata hata Vyeti vya ndoa hutoka huko (though si muhimu kwenye kukamilisha ndoa ya kiislamu)
 
Na amechumbia tena, kwahiyo watabaki wachumba milele na Sanchez? Kuna upepo ulipita, ndoa nyingi za mabilionea zilikufa wakati huo.
Watu wanamshangaa ex wife wa Bezos, wanakadiria nusu ya huo utajiri, alionufaika kwenye talaka, ametoa msaada, wanashindwa kumuelewa.
 
Mkuu una uhakika na hili.
Alipokea 36 bilion dollars in amazon stock not cash mkuu. Na pia sababu ya kumwacha ni baada ya kugundua alikuwa anamcheat na mwandishi fulani wa habari.
Hii taarifa sidhani kama ni maneno ya Jeff.
Baada ya kusoma hapa, nimeenda google nimeenda youtube kutafuta hio interview sijaipata. So sina hakika na hii taarifa
 
Elon Musk sasa jivi hana mke, ila kaoa na kuacha mara tatu na ana watoto 12 na wanawake watatu tofauti.

Inaonekana anaandika strong prenups kujilinda.
Salute kwake kila mtu apambane na shida zake
 
Kataa ndoa 3-0Mabraza lialia

#🤝Maskini endeleeni kuoa huku matajiri wakijutia uamuzi huo😄😄😄
 
This is why you shouldn't ever trust bitches. Elon Musk namuelewa sana kwenye hili.

Hit and Run.
 
Back
Top Bottom