- Thread starter
- #21
Ni haki hawa vibaka ni wakichomwa. Mnaosema siyo fair nafikiri bado hayajawakuta.
Yalinikuta arusha karibu na benki nikienda kumpilia mtoto ada, bahati nzuri alikwapua pochi haina hata senti zaidi ya kadi ya benki hivyo kunivurugia mipango yangu.
Sio fair kupiga kelele ya mwizi kwa mambo ya kidunia...wote tunatafuta riziki na huyo hapo alikuwa kazini...ajira milioni moja za kikwete ndio hizo.