Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni jambo la dakika moja tu maana hana faida katika jamii,ni afadhali angeomba hata kazi ya kubeba zege sehemu kuliko kuiba.
kwahakika vibaka namajizi niwatuwabaya mno ila wanastahiki kukatwa mikono wakiiba siokuchoma,nakwaupande wapili kuchoma moto au kupiga bila kudadisi haifai,kuna nduguyangu alitaka kuibiwa nakibaka akapambana nae kibaka alipozidiwa nguvu akapiga kelele kumpigia yowe lamwizi huyu ndugu alietaka kumuibia,watu wakaanza kumpa kipigo yule aliebiwa akaokolewa na watu waliokua wanamjua kua ni mtu na kazizake napesazake.usiombe yakukute.Endelea na msimamo huohuo na huku UKIOMBA Mungu isijeikatokea siku watu wakakupigia kelele za mwizi kwa makosa au kwa fitna. Kumbuka ule msemo usemao, "Usutukane mamba kabla huujavuka Mto". Inawezakana isikutokee wewe lakini ikamtokea mtu wako wa karibu.