Ni haki hawa vibaka ni wakichomwa. Mnaosema siyo fair nafikiri bado hayajawakuta.
Kwa nini hawakumchoma huyu?
Za mwizi arobaini naona tayari keshaandaliw tayari kwa kiberiti....mapigo ya moyo hapo usitake kujua..
Ni haki hawa vibaka ni wakichomwa. Mnaosema siyo fair nafikiri bado hayajawakuta.
Hivi katika zama hizi za Technolojia Wanaochoma Vibaka na Kuwaua hawawezi kushtakiwa?
Imekuwa ikisemwa katika Mobjustice huwezi kujua ni nani aliyetenda kosa.
lakini katika picha hii watendaji wanaonekana wazi na wanaweza kuwa identified. Why not prosecuted?
Kama katika maandamano kama arusha yenye mamia ya watu, watu wanaweza kukamatwa na kushtakiwa why not in this?
Siungi mkono vibaka, lakini napinga hatua ya watu kujichukulia hatua mkononi na kutoa hukumu ya kifo.
Kwa mliomaliza Mzumbe mtamkumbuka Mstafa alichomwa moto mwishoni 2010 Mwanza kwa kudhaniwa kibaka na wanakijiji. Hizi hasira za kujichukulia mikononi sio fresh, jamaa hakupewa nafasi ya kujitetea kisa alikuwa mgeni mitaa hiyo wakahisi kibaka na kumuua msomi hata kabla hajala matunda ya elimu yake.
RIP Mstafa we still mourns your brutal death.:A S 20::A S 20:
Mkuu una roho ngumu, mie hata kuua mdudu siwezi, itakuwa kuua kwa maneno.
Ungepewa kiberiti umuwashe kibaka huyu ungemuwasha ?
Kifo cha Mustafa kilinishtua sana coz ni best yangu tangu utotoni, hasa juu ya tukio lenyewe la kuchomwa moto akidhaniwa ni kibaka, nilipopata taarifa tu nikaishiwa nguvu na kushindwa kufanya imagination ya mateso aliyopata mpaka anaaga dunia. RIP my best friend!
Haipendezi kabisaa
Haipendezi kabisaa
Kuna wakati ni lazima mtu afe kwa style hii ili iwe mfano kwa wengine ambao wana tabia kama za huyu,kwa wanaosema kuwa adhabu hii ni kubwa sana nadhani hawajawahi kupata madhara ya kuibiwa na watu kama huyu.
Tunatambua kuwa sheria za nchi haziruhusu wananchi kujichukulia sheria mikononi lakini yafaa kitu gani kumkuta mtu kama huyu tena mtaani wakati jana yake alikuwa polisi?Tufikie wakati tutoe mfano kama huu ili tabia kama hizi zikome.
Huu ni unyama na ukatili wa ajabu kabisa. Lakini mwene makosa zaidi ni mafisadi wanaosababisha hali mbaya ya kiuchumi na watu kuwa kama wanyama.
Kwa nini hawakumchoma huyu?