Endelea na msimamo huohuo na huku UKIOMBA Mungu isijeikatokea siku watu wakakupigia kelele za mwizi kwa makosa au kwa fitna. Kumbuka ule msemo usemao, "Usutukane mamba kabla huujavuka Mto". Inawezakana isikutokee wewe lakini ikamtokea mtu wako wa karibu.