"Anahisi hana nguvu"?? Huyo atakuwa na changamoto ya upumuaji[emoji14] [emoji14] Cov... 19 .@ Kasie Matata.Aaahahahahahahaa naanza na cheko, heko cherekooo aahahahahaaa
Ati ananitumia dedikesheni, ooh Kasinde mie siwezi kuhema
Mapigo ya moyo yanashuka kila dakika
Mwili hauna nguvu
Sijala tangu jana asubuhi nakuwaza wewe
Kasie usiutese mtima wangu ......
I can't live without you Kasie, and if living is living without you, then I can't take this life anymore...
Aaahahahahahahahhaaaa loooh nacheka kama mazuri vileee eeheheheheheheeee haaachuuuuuu.
Akuuuuuuuu, usinizeesheee bibi wa watu mie.
View attachment 1523037
K' Mwenyewee (Way Back1991)
Kasinde Matata.
Umefanya hiki kibwagizo kinijie kichwani....
Poliiisiii kamataa
Kidevu kinawashaa
Mwambie babu yakoo
Acheze mgandaaaa... uuuhhh
Havintishi tishiii
Havinibabaishiii
Ule mpango vipiii
Msalimie afande hapo kushoto aahahahhaaaa.
K' Matata.
Kwa mahaba haya Kweli siwez View attachment 1523043
Naomba Basi nimalizie Mimi mremboAaahahahahahaaa Wax, usitoe siri fichamooo aahahahahaa
Watanikwiba bureee wakati sikuhizi hakuna tena, kimekwishaa choteeee eeheheheheheee.
Kasinde Matata.
"Anahisi hana nguvu"?? Huyo atakuwa na changamoto ya upumuaji[emoji14] [emoji14] Cov... 19 .@ Kasie Matata.