I declare it, I love you so much...

Ok poa msalimie sana kaka yangu siku hizi umemkamatilia yani hata message tu hapati mda wa kututumia

Sasa wii bado unataka meseji? Ulishatumiwa miaka hiyo....sasa hivi zamu yangu attention yote napewa mimi
 
Sasa wii bado unataka meseji? Ulishatumiwa miaka hiyo....sasa hivi zamu yangu attention yote napewa mimi

Jamani vibaya hivyo wi.Kujuliana hali ni jambo zuri sana si mpaka msubirie kupigiwa simu mtu wenu hatunae tena duniani
 
alikuwa mchepuko tu.. DA alisharudi kwenye himaya yake bhana... ila sio mbaya kijana alipewa taarifa kuhusu sehem moyo wake umedindokea..

mkuu hivi uliwahi kuuliza juu ya mazingira ya newala.
ulikuwa unaenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…