I declare it, I love you so much...


nakupenda kipenz changu siwez kukusalitiii.nawaangalia tuu nione mbio zao zitaishia apiii😉
 
Last edited by a moderator:
Viroba?? Uko level zingine jomba

Viroba vina ubaya gani ndugu yangu?Ukichukua viroba vyako unakunywa kwa staha ukihisi umelewa unachapa miguu yako unarudi home huku unaimbaimba barabarani kushangilia matumizi ya pesa yako kuna ubaya gani?

Elfu 5 tu viroba isha jilewea mimi,I love pombe hii na siwezi kuacha sababu hainipi matatizo yyt ndani ya mahusiano yangu
 
nakupenda kipenz changu siwez kukusalitiii.nawaangalia tuu nione mbio zao zitaishia apiii😉

unawaangalia akina nani...? humsaliti nani katika nini? hebu nifafanulie...
 
Yani wewe na ndoa za watu tu. Ya kwangu mimi ipo ICU kwaajili yako sasa hivi umehamia kwa kiwatengu

..ya kwako karibia tuipeleke kinondoni kuipumzisha milele..!
..ya mwallu pia natamani niiwekee doa lakini nashindwa coz Mentor mpole Sana..
. miss neddy yeye nimeshapata fursa, tutayamaliza hivi karibuni..
..ya kiwatengu ipo kwenye wish-list tayari.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…